Fatuma Hassan (@fatumahasni) 's Twitter Profile
Fatuma Hassan

@fatumahasni

الله أكبر a Servant of God
Global Youth Leader
Simba + Barcelona Fan

ID: 1838093406943264768

calendar_today23-09-2024 05:50:12

112 Tweet

19 Takipçi

134 Takip Edilen

Kamusi (@kamusihalisi) 's Twitter Profile Photo

WIKI YA VIJANA KITAIFA 2024. KAULI MBIU "Vijana na matumizi ya fursa za kidigitali kwa maendeleo endelevu" #KamusiHalisi #KamusiYaMaendeleo.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, akizungumza katika Mkutano Wa Ndani Wa Viongozi na Wanachama wa CCM wilaya Ya Kahama Mkoani Shinyanga leo tarehe 10 Octoba 2024. #KaziIendelee

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, akizungumza katika Mkutano Wa Ndani Wa Viongozi na Wanachama  wa CCM wilaya Ya Kahama Mkoani Shinyanga leo tarehe 10 Octoba 2024. 

#KaziIendelee
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hawa wa hivi huwa hawajiandikishi wanafikiri uchaguzi unawahusu Mama Lishe na watu wa chini sana. Kila mtu atalipa gharama ya kukaa kimya wkt uovu unashamiri.

Hawa wa hivi huwa hawajiandikishi wanafikiri uchaguzi unawahusu Mama Lishe na watu wa chini sana. Kila mtu atalipa gharama ya kukaa kimya wkt uovu unashamiri.
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KAHAMA MBIONI KUPATA MKOA WA KITANESCO Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Emmanuel Nchimbi akitatua kero sugu kwa wanakahama amempigia simu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ili kufahamu utatuzi wa maombi ya wanakahama juu ya kupata Mkoa wa

Mpaka Ndichi (@mpakandichi) 's Twitter Profile Photo

📍MWANZA Samia Suluhu karibu sana mkoani Mwanza, karibu kwenye jiji lenye utajiri wa Sangara na Sato, karibu kweny jiji lililopambwa na mawe na miamba ya kuvutia, karibu kweny visiwa vizuri vya ziwa Victoria, karibu sana nyumbani kwako Mama. #MpakaNdichi #KutokaSite

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KATIBU MKUU NCHIMBI AKISALIMIA WANANCHI WA KAGONGWA KAHAMA. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo 11 Octoba 2024 pamoja na Msafara wake amesimama Kata ya Kagongwa Wilayani Kahama na kusalimia Wananchi waliojitokeza akiwa njia kuelekea Shinyanga Mjini

KATIBU MKUU NCHIMBI AKISALIMIA WANANCHI WA KAGONGWA KAHAMA.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo 11 Octoba 2024 pamoja na Msafara wake amesimama Kata ya Kagongwa Wilayani Kahama na kusalimia Wananchi waliojitokeza akiwa njia kuelekea Shinyanga Mjini
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

KARIBU MWANZA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, KARIBU MPAKA NDICHI Karibu sana Mwanza Mama (Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan), Karibu kwenye mkoa wenye utajiri wa samaki aina ya Sangara na Sato, Karibu kwenye mkoa uliopambika vizuri kwa mawe na miamba ya kuvutia, karibu

Kamusi (@kamusihalisi) 's Twitter Profile Photo

WIKI YA VIJANA KITAIFA 2024 "Kama mimi nimeweza kwanini nyie msiweze kinacho takiwa ni kuomba mungu kujituma kwa dhati kuwa na adabu na kuweka nia ya kile tunachotaka tukifikie" - SIMBA..!🦁 #WikiYaVijana2024 #KamusiHalisi #KamusiYaMaendeleo

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚮🚮 CCM HOI, SERIKALI BOGUS🚮 #Tanzania #TrueStory Voter’s Registration center is inside the house compound of the CCM candidate 😅 It is funny and infuriating at the same time! They must really think we are stupid and dumb! OFISI YA RAIS TAMISEMI msitutanie! Na huyo waziri wenu

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ATANGAZA MAPUMZIKO NOV 27, AKIJIANDIKISHA DAFTARI LA MKAAZI KUPIGA KURA SERIKALI ZA MTAA _Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu_ . Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa_ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

RAIS SAMIA ATANGAZA MAPUMZIKO NOV 27, AKIJIANDIKISHA DAFTARI LA MKAAZI KUPIGA KURA SERIKALI ZA MTAA 

 _Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu_ .

Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.