Sambonanga (@eugene01j) 's Twitter Profile
Sambonanga

@eugene01j

||Certified Public Accountant - CPA(T)

||Patriotic and A Concerned Citizen of The United Republic of Tanzania
||Haki Ni Maendeleo

#KatibaMpya

ID: 1121153843230904321

calendar_today24-04-2019 20:48:01

16,16K Tweet

2,2K Followers

606 Following

Tausi Likokola (@tausilikokola) 's Twitter Profile Photo

~ We already knew before Diamond trip that certain figures were no longer being welcomed in places like the US or the UK. Doors are closing quickly for anyone who chooses not to stand with the people of Tanzania. Accountability always arrives-just a matter of time. β°πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½~

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti kati ya WARAKA WA TEC na maelezo ya huyu mama hapa?πŸ€”πŸ€”πŸ€” Au na yeye anamchukia mwanamke mwenzake?πŸ€”πŸ€”πŸ€” Kuna mengine ni common sense tu!

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mmeua Watanzania wengi kuliko alioua Nduli Idd Amini.. Bado mna ujasiri wa kujaribu kufinika haya Mauaji kwa kutishia watu… Kuna mambo hayawezi kufunikika na kila mnapojaribu kufunika hili jambo ndio manaharibu zaidi.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Zanzibar naona wenzetu bei ya Mafuta haitishi sana kama ilivyo Tanganyika... Nafikiri Muungano unawanufaisha Zaidi ndugu zetu wa visiwani.

Zanzibar naona wenzetu bei ya Mafuta haitishi sana kama ilivyo Tanganyika...
Nafikiri Muungano unawanufaisha Zaidi ndugu zetu wa visiwani.