Eng.Winner .M.Semlangwa (@engwinner) 's Twitter Profile
Eng.Winner .M.Semlangwa

@engwinner

1. RF AND TX EXPERT (ERICSSON VENDOR)
2. FORMER DEPUTY MINISTER LEGAL AND CONSTITUTION,MUSTSO. (2017/2018
ACTING CHAIRMAN UVCCM- TAWI LA MWANAMSEKWA-TEMEKE

ID: 1187912910175113218

calendar_today26-10-2019 02:05:20

230 Tweet

67 Followers

543 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, nilipata wasaa wa kuzungumza na sehemu ya Watanzania waishio nchini humo, baadhi wakiwa na familia zao. Ndugu zetu hawa

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

BUNGENI: Waziri wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI , Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy O. Gwajima Bungeni jijini Dodoma, Leo 26 Mei 2023.

BUNGENI: Waziri wa Nchi, <a href="/ortamisemitz/">OFISI YA RAIS TAMISEMI</a> , Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy O. Gwajima Bungeni jijini Dodoma, Leo 26 Mei 2023.
Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mwanasiasa yoyote Tanzania atakaeweza kuvunja rikodi hii iliyoandikwa na Dr Samia Suluhu Mkoani Mtwara, hakika hii ni zaidi ya upendo .. #SisiNaMamaMleziWaWana #SisiNaBaBaMleziWaWana #KaziIendelee #YajayoNiNeemaTupu

Hakuna Mwanasiasa yoyote Tanzania atakaeweza kuvunja rikodi hii iliyoandikwa na Dr <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> Mkoani Mtwara, hakika hii ni zaidi ya upendo
.. 
#SisiNaMamaMleziWaWana 
#SisiNaBaBaMleziWaWana
#KaziIendelee 
#YajayoNiNeemaTupu
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimewapokea Marais wa Nchi na Wawakilishi wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kushiriki Mkutano wa 23 kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula jijini Arusha. Kazi Inaendelea. Kazi ya kutafuta majawabu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye

Nimewapokea Marais wa Nchi na Wawakilishi wa Viongozi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kushiriki Mkutano wa 23 kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula jijini Arusha. 

Kazi Inaendelea. Kazi ya kutafuta majawabu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

123 VACANCIES ANNOUNCMENT The Ministry of Health (MOH) through Global Fund (GF) Grants is looking for enthusiastic, creative and energetic individuals whom will work under a three years (1st January, 2024 to 31st December, 2026) contractual agreement to fill the 123 vacant

123 VACANCIES ANNOUNCMENT 

The Ministry of Health (MOH) through Global Fund (GF) Grants is looking for enthusiastic, creative and energetic individuals whom will work under a three years (1st January, 2024 to 31st December, 2026) contractual agreement to fill the 123 vacant
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.

Eng.Winner .M.Semlangwa (@engwinner) 's Twitter Profile Photo

Miaka 47 ya Chama Cha Mapinduzi tulikiezj kwa kushiriki katika zoezi la upandaji miti,lengo lilikuwa kuifanya dodoma yetu kuwa ya kijani.UVCCM KATA YA UHURU MKOA WA DODOMA.

Miaka 47 ya Chama Cha Mapinduzi tulikiezj kwa kushiriki katika zoezi la upandaji miti,lengo lilikuwa kuifanya dodoma yetu kuwa ya kijani.UVCCM KATA YA UHURU MKOA WA DODOMA.