Kisusio (@tukutukuj) 's Twitter Profile
Kisusio

@tukutukuj

ID: 1250866667879612418

calendar_today16-04-2020 19:20:45

5,5K Tweet

417 Followers

354 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mnaosema kwamba wakati wa Magufuli Bishop Gwajima hajawahi kunyanyua mdomo kukemea utekaji nadhani mtakuwa mnajisahaulisha. Gwajima ni moja kati ya watu ambao alitoka hadharani na kukemea tukio la kutekwa Ben Saanane. Hata wakati anapambana na ufedhuli wa Makonda akiwa RC

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika. MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥 Mpeni RT 200🤝

MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi

MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika.

MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥

Mpeni RT 200🤝
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Sauti za kukemea UTEKAJI, UUAJI na KUUMIZA Watanganyika zinaongezeka kwa kasi kubwa sana. Mtumishi hapa naye amepita alimo pita jasiri Josephat Gwajima. Haya sasa, nendeni mkafungie na hili kanisa kama mlivyo fungia Ufufuo na Uzima.

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Daniel Chonchorio ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka huko Tarime. Alitekwa na #WatuWasiojulikana Machi 23 mwaka huu lakini tangu ametekwa mpaka leo uongozi wa CCM kuanzia mtaa, kata, tarafa, jimbo/Wilaya, Mkoa hadi Taifa haujasema lolote. #Jasusi anaweza

International Democracy Union (@idualliance) 's Twitter Profile Photo

On 9 April 2025 Mr Tundu Antiphas Lissu - Chairman of Tanzania’s CHADEMA party and IDU Vice Chairman- was arrested. His alleged crime? Speaking at a peaceful rally. Calling for electoral reform. Demanding fairness. He now faces charges of treason and publishing false information.

On 9 April 2025 Mr <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> - Chairman of Tanzania’s CHADEMA party and IDU Vice Chairman- was arrested. His alleged crime? Speaking at a peaceful rally. Calling for electoral reform. Demanding fairness.

He now faces charges of treason and publishing false information.
Gervas Maiko Sulle (@germaiko) 's Twitter Profile Photo

Godbless E.J. Lema Benda_Nascimento Hajui kuna watu wanamiliki majimbo ya uchaguzi? Anashangaa nini, mbona nchi hii ccm wanapora uchaguzi na wanajitangaza na hajawahi kulalamikia hilo? Pengine na yeye anataka kugombea akiamini kuwa akishinda uteuzi atapita kwa njia ya ulaghai na siyo ya ushindani. Tulia unyolewe!

The champ👑 (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mambo ya " Pokeaaa" wala mambo ya kukanyaga "mafuta" hapa linafundishwa neno la Mungu lenye kuonya na kujenga. Anaitwa. Mwl. Christopher Mwakasege🙏

Hakuna mambo ya " Pokeaaa" wala mambo ya kukanyaga "mafuta" hapa linafundishwa neno la Mungu lenye kuonya na kujenga. 
Anaitwa. Mwl. Christopher Mwakasege🙏
Josephine Marealle-Ulimwengu (@ulimwengujm) 's Twitter Profile Photo

Yanayojiri kwetu leo yananikumbusha Maandiko mawili ya Biblia—Yeremia 2:21–22 na Isaya 5:2—ambayo yanaonyesha huzuni ya Mungu kwa kutokuona matokeo ya neema yake kwa watu wake. Mungu alifanya kila jitihada kuiandaa na kuiinua nchi yetu na watu wake. Aliitunza kama shamba lake,

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Kitu napenda ni vile Serikali inamtafuta Balozi Humphrey Polepole bila mafanikio. Mpaka imefika mahali machawa wanasema Polepole hayupo nchini yupo Cuba. Kumbe yupo hapa hapa Tanzania, jamaa anawanyoosha kisawa sawa mpaka washike adabu au adabu iwashike.😂

Joe boy (@martinemasalu) 's Twitter Profile Photo

Latto 𝕏 Zee la Vyeti (PhD) Balyx Dullah_theKing🎧 Miss Chelsea1221 #GWIJI🔴 Level ya kiburi cha hawa washkaji haipimiki kwa mzani wa kawaida, hapa ndo tunajifunza umuhimu wa kifo kuwepo, imagine kama tungekuwa tunaishi milele then akina Nasib hawa hawa ndo tupo nao kwenye sayari hiii,