MWANAUME MWEMA (@pkisinini) 's Twitter Profile
MWANAUME MWEMA

@pkisinini

mwanaume mwema anaejitunza uvulana wake sifanyi lolote mpaka Ndoa kabisa.. 🙏

ID: 1284160970827407364

calendar_today17-07-2020 16:20:25

1,1K Tweet

432 Followers

508 Following

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Ni haki yetu kuwakosoa ila sio kutumia nguvu nyingi kutafuta makosa katika kila kitu hata kilichofanyika vizuri,kuna mazuri yamefanyika na hayakupendizi yapotezee endelea kutafuta mabaya japo huu ni ugonjwa. Appreciation kwa mshindani wako sio udhaifu bali ukomavu.

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Asilimia 90 kwa hapa Bongo team Israel ni wafuasi wa mange Kimambi wala sio wapenda HAKI. watu Ambao wameenda kwa Mange wamejazwa Uongo ukawaingia Kwenye ubongo now wanajikuta wayahudi wa Israel 🤣 Mange yeye ni Mshabiki wa Marekan no matter watafanya Ukatili upi yeye atakuwa

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Mume: Tafadhali nitengenezee kahawa. FEMINISTS : Jitengenezee mwenyewe. Boss: Nitengenezee kahawa. FEMINISTS:Ungependa sukari ndani yake? Tunaishi katika dunia ya ajabu💔

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

JAJI CHANDE📌 🚨Tume hii ni ya kutafuta hoja 🚨Mamlaka ya kushughulikia masuala ya jinai iko palepale 🚨Tume hii haina kazi ya kutangaza waliofadhili haya machafuko au nani alifadhili vurugu zile 🚨Tume hizi zinakatazwa kumtuhumu mtu bila kumpa fursa ya kujitetea 🚨Pamoja na

JAJI CHANDE📌

🚨Tume hii ni ya kutafuta hoja
🚨Mamlaka ya kushughulikia masuala ya jinai iko palepale 
🚨Tume hii haina kazi ya kutangaza waliofadhili haya machafuko au nani alifadhili vurugu zile 
🚨Tume hizi zinakatazwa kumtuhumu mtu bila kumpa fursa ya kujitetea 
🚨Pamoja na
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni mwanademokrasia na mpenda mabadiliko lakini kuna muda Nikiangalia post za wanaharakati, unaona kabisa hawana uelewa na siasa za Dunia au hawajajifunza kutokana na historia. Ni hivi, Kama watanzania tunataka mabadiliko au katiba mpya basi tuendelee kushikana mashati mpka

Mimi ni mwanademokrasia na mpenda mabadiliko lakini kuna muda Nikiangalia post za wanaharakati, unaona kabisa hawana uelewa na siasa za Dunia au hawajajifunza kutokana na historia. Ni hivi, Kama watanzania tunataka mabadiliko au katiba mpya basi tuendelee kushikana mashati mpka
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Muda huu Wanaharakati UCHWARA wanafuatilia DERBY YA KARIAKOO kwa AZAM MAX… Alafu mpira ukiisha watakuja na zile za… “Tulikubaliana Tusishabikie mpira wa nyumbani…” Humu ndani kuna michezo saana😂😅🙌🏽

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninaipongeza Klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano mwaka 2026. Mbali na burudani, michezo imeendelea kuwa daraja imara linalotuunganisha. Pia, ninazipongeza klabu zote nane zilizoshiriki mashindano hayo kwa kuonesha ushindani wa kirafiki na hamasa inayozidi

Ninaipongeza Klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano mwaka 2026. Mbali na burudani, michezo imeendelea kuwa daraja imara linalotuunganisha. 

Pia, ninazipongeza klabu zote nane zilizoshiriki mashindano hayo kwa kuonesha ushindani wa kirafiki na hamasa inayozidi
NAOMI FUJO (@naomi_fujo) 's Twitter Profile Photo

Devotha Mlimchukia Sababu Alichukua Form Ya Ubunge Madenge Mkamchukia Kisa Ford Foundation Wasanii Mkawachukia Kisa Kampeni Za Ccm, Simba & Yanga Mkazichukia Kisa Hazikutoa Pole Oct 29 Basi Sawa Nyie Kwenda Kwa Vunja Bei , Collabo Na G Nako Mnatafuta Ugali Mamae Zenu😁