Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile
Dickson Henry

@dicksonhen7900

pastor/The gospel preacher ๐Ÿ“ข๐Ÿ“ขand singer.๐ŸŽ™
a composer and copyistโœ of the Christianโ›ช instruction

ID: 1708420434301984768

calendar_today01-10-2023 09:56:14

4,4K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 23:5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Mwanzo 41:15 -16 Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri. Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Sisi tuliouza mashamba tukasomesha watoto wetu kwenye kada ya ualimu tunaposikia kwamba huko vyuoni mitaala imebadilishwa, tunahisi kama tunatakiwa kutubu dhambi ya kucheza kamali!๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข Subiri nika mshirikishe mchungaji, ivi hatujatenda dhambi kweli!

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke Unavaa nguofupi, unakaa kiti cha mbele, alafu unafunika kanga kati ya paja na paja, ili kuishughulisha akili ya mchungaji aache kusikiliza ujumbe wa Roho Mtakatifu, ili ahangaike na kutaka kuona kilicho funikwa na hiyo kanga. WAKALA WA SHETANI WEE!

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Efe4:28 Mwibaji asiibe tena bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji. Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji ili liwape neema wanaosikia

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Wasomi wasomi, acheni kukariri mambo jamani! eti ukisikia mtu kwenye maongezi yake amesema, PALE UDOM, PALE UDSM AU PALE SUA, Tayari unasema, huyu jamaa msomi. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒwengine tulienda kwenye maafali ya ndugu zetu, mweee!

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Warumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Mwezi mzima nipo kwenye mazoezi, nikijiandaa namna nitakavyo mtamka rais wa chama chetu cha UMD, mara atakapo sainikwa wino mwekundu. MWESHIMIWA RAIS MWAJUMA, AU MWESHIMIWA MWAJUMA. AU MWESHIMIWA MAMA MWAJUMA, khaaa nachoka mwenzenu nachaanganyikiwa mieee!

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

SHIDA YA BANGI UNAITUMIA KWA SIRI YENYEWE INAKUDHARIRISHA, HADHARANI. ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” msaada wa kweli ni Yesu peke yake.

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Math15:17-20 Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Najuuta mwenzenu mi najuuuta, najuuuta kwanini nlikujuaa, najuuuta jamani mi najuuuta najuuuta kwanini nlizaliiwa. sura yangu ntaiweka waapi mweeee. Kila nkimtazama huyu bwana najiwa na wimbo huu. Kwani huyu jamaa ni nani?

Najuuta mwenzenu mi najuuuta,  najuuuta kwanini nlikujuaa, najuuuta jamani mi najuuuta najuuuta kwanini nlizaliiwa. sura yangu ntaiweka waapi mweeee.
Kila nkimtazama huyu bwana najiwa na wimbo huu. Kwani huyu jamaa ni nani?
Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 1:1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Eee Mungu Baba mwenyezi wewe ndiwe mwamuzi na mtetezi wetu sisi tusio kitu mbele za wakuu hata pale tunapotoa hoja za kuponya nchi. Ombi langu kwako ee Mungu wetu usiruhusu adui zetu watushinde kwani kushindakwao ni kushindwa kwako maana tumekutegemea wewe๐Ÿ˜ช

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Khaaa haya mabango ya CCM yakibandikwa tu hata hujamaliza kusoma jina la mgombea watu wamesha chana. Na huku kwetu hakuna upinza udiwani hadi urais sasa sijui hawa wanaochana mabango ni wakina nani? Au haya nayo ni mabango ya kigwangala.?

Dickson Henry (@dicksonhen7900) 's Twitter Profile Photo

Waebrania 9:15 Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.