Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile
Pio Mponzi

@pius_mponzi

ID: 893251547664179200

calendar_today03-08-2017 23:25:39

10,10K Tweet

167 Followers

128 Following

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

millardayo Hongereni vyuo vyangu ambapo nilisoma UDSM, Kwa SUA nilikuwa Mjumbe wa Baraza la Chuo na NMAIST nilikuwa kwa mjumbe wa Steering Committee ya kwanza iliyosimamia kuanzishwa kwa chuo hiki. Hata hivyo, nasikitika chuo changu UDOM kutokuwepo kwenye orodha hiyo.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Ahmed Ally Wewe tumekuzoea na tunajua wakija makocha wa kigeni unawageuka akina Juma Mgunda na Selemani Matola na kusema hakuna kocha bora kama huyu kuwahi kutokea Simba.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

MAK Mringo (PhD) Wazazi wengi kwa sasa hatutekelezi majukumu yetu kama tulivyolelewa na kukuzwa na wazazi wetu. Akina Baba wengi tumekuwa Dad badala ya Father na akina Mama wamekuwa Mom badala ya Mother. Kuna tofauti kubwa kati ya Father na Dad na pia Mother na Mom.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Nadhani sasa tukae chini tushauriane tunafanyaje Wakuu, maana kumlaumu Ihefu ni kumwonea yeye kajitahidi saaana kuliko wengi tuliyekutana nae yule Bwana wa Jangwani, kiutani utani anataka kurudia alichofanya msimu uliopita, kiutani utani anataka kujimilikisha huu mpira, kiutani

Nadhani sasa tukae chini tushauriane tunafanyaje Wakuu, maana kumlaumu Ihefu ni kumwonea yeye kajitahidi saaana kuliko wengi tuliyekutana nae yule Bwana wa Jangwani, kiutani utani anataka kurudia alichofanya msimu uliopita, kiutani utani anataka kujimilikisha huu mpira, kiutani
Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe What killed the Southern African Power Pool (SAPP) initiative under the SADC? In principle power pools are meant among other things to enable countries with surplus power supplies to export it to other countries experiencing load shedding due to power deficit.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Rahuuuum Mhe. Sheikh Kipozeo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Mtandao wa X (twitter) ni muhimu sana kwa sisi wengine na pia hata mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu anautumia sana kwenye mawasiliano yake kwa umma. Sasa haya maamuzi kwa Kisungu wanasema "blanket condemnation" yanatoka wapi?

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Jambo TV Samia Suluhu Afande Sele umenena ukweli. Kwanza mwenyekiti huyo ni vema akajua kuwa kila sekta ina mamlaka ya usimamizi (regulatory authority). Kwa upande wa TEHAMA ambako tunaikuta mitandao ya kijamii yaani X (twitter), FB n.k. inasimamiwa na TCRA ambayo inatekeleza majukumu yake ipasavyo.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

BBC News Africa Mo the Sudanese tycoon once said countries like US elected Obama who was very young and entrusted him to preside the country with nuclear power and manage the largest economy in the world. Yet Africans elect sick and old wheelchair ridden presidents who can't even wave hands.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Hon. KM Katiwa 𝕏 The Government Critic πŸ‡°πŸ‡ͺ Majuu Alone MuneneπŸ‡°πŸ‡ͺ Wajameni remember that you dispatched him to Bondo like a DHL parcel. So please don't disturb him and everyone should carry his/her own burden. You woke up early in the morning and chanted tugokira tene tugokira tene tugathure UDA's MPs who now form the majority in the House.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

millardayo Nayapongeza maagizo haya ya Rais. Huko nyuma sauti zilipazwa juu ya kuwa na uchumi wa saa 24 Serikali sikivu ikaruhusu mabasi ya abiria kusafiri usiku. Baada ya Kariakoo tunaomba tugeukie kumbi za sherehe ambazo zinalazimika kufungwa saa sita usiku katikati ya shughuli wajameni.

Pio Mponzi (@pius_mponzi) 's Twitter Profile Photo

Daily Nation In Africa ailing presidents are seeking additional terms in the office while they are wheelchair ridden and they can hardly raise their hands to wave to their voters. Something is wrong somewhere I can tell you for sure.

Liza Rosen (@lizarosen0000) 's Twitter Profile Photo

Massive escalation: hundreds of missiles and rockets have been launched in the last hour by Hezbollah terrorists in Lebanon towards Israel. The media is silent to prevent damage to the political narrative which always portrays Israel as the "aggressor" and

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS, Chaapaaa REPOST 1000 FREEMAN MBOWE THE PRISEDNT AJAYE NO FEAR (2025) Nitakupa kura nyangu baba βœŒοΈπŸ™

π’π‘πšπ¦π›πš 𝐌𝐞𝐝𝐒𝐚 (@shambamedia) 's Twitter Profile Photo

πŸΆπŸ‘¨β€πŸŒΎ Waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe amesema wizara yake italeta sheria ya wakala wa huduma za ugani nchini ambapo itaweka takwa la wamiliki wa maduka ya pembejeo kuajiri wauzaji wa pembejeo na washauri wa kilimo ambao wamesomea masomo ya kilimo. #BASHE