MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profileg
MAK Mringo (PhD)

@SnrDirector

PARADIGMS

ID:898241741849059328

linkhttp://www.paradigms.ac.tz calendar_today17-08-2017 17:54:54

20,6K Tweets

15,0K Followers

5,2K Following

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote.

Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam.

Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro

Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote. Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro
account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa waziri ualimu ni fani, ingetumika kila mahali wangepata ajira wote. Tatizo letu ni kuamini kuwa kila aliyesoma anaweza kufundisha. Angalia uhasibu, uanasheria, ununuzi na ugavi nk, hata kama wote mliopo katika shirika mna PhD, mnalazimika kuwa na hao wataalam mahsusi.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Huyu mbunge anajenga hoja muhimu sana hapa ambayo pengine tunaipuuzia.

Vyuo vyetu vinazalisha kundi kubwa sana la walimu ambao wanaishia mtaani tu.

Mwaka 2022, zaidi ya asilimia 40% ya wanafunzi waliokuwepo kwenye vyuo vyetu vya elimu ya juu walikuwa wanasomea ualimu.

Mwaka

account_circle
African Hub(@AfricanHub_) 's Twitter Profile Photo

The Mystery behind Orashi and Ogbuide

2 rivers that cannot mix no matter how you try.

In imo State, Nigeria there is a river known as 'Oguta Lake'. 'Oguta Lake' is among the largest water body in Nigeria. However the lake consist of two very angry rivers, called Orashi and

The Mystery behind Orashi and Ogbuide 2 rivers that cannot mix no matter how you try. In imo State, Nigeria there is a river known as 'Oguta Lake'. 'Oguta Lake' is among the largest water body in Nigeria. However the lake consist of two very angry rivers, called Orashi and
account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

A woman was once asked: What do you 'gain' from praying to God regularly? She replied:
Usually โ€ฒโ€ฒ I don't earn anything ', but rather โ€ฒโ€ฒ I lose things '.
And she quoted everything she lost praying to God regularly:
1. I lost my pride.
2. I lost my arrogance.
3. I lost

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

TRAINING:- โ€œThe key is to train in a mindful way.ย Donโ€™t just learn things.ย Turn everything you learn into an activity.ย โ€

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

Huwa zipo PhD nyingine tofauti na hizo? Zinapatikana wapi tuzifuate? Zinapatikanaje? Unawezaje kujua tofauti zake wewe mtunukiwa? Anawezaje kujua tofauti zake ambaye hajawahi kutunukiwa? Inapimwa kwa kutumia kifaa gani ili kuzitofautisha?

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

Nilitegema haya, ndo maana nilishauri na mapema kuwa tusikie kitu kabla ya 26/4/24. Anaweza kuwashangaza wengi kwa kuuweka ushahidi wake (usio na shaka) mezani. Ngoja tuone

account_circle
MAK Mringo (PhD)(@SnrDirector) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿซ ๐ŸŸข ๐Ÿซ

*โ€ขโ€ขโ€ขโ€ขUKUMBUSHOโ€ขโ€ขโ€ขโ€ข*

Zihuishe Sunnah Funga masiku meupe , na Funga hiyo ya masiku meupe mwezi huu ni kuanzia siku ya kesho Jumatatu ya tarehe 22 aprili mpaka siku ya Jumatano.

Faida
*_'KWA WALE WANAO FUNGA SITA SASA HIVI,

account_circle