Mustafa Sharif
@mzanzibari00
International Development Expert I Youth I Livelihood I Innovation I Design Thinking I Adaptive Leadership
ID: 1695491315453001728
26-08-2023 17:40:40
7 Tweet
4 Followers
27 Following
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ ๐Join us *TOMORROW EVENING* for a conversation led by Pamoja Youth Initiative as we Unpack how youth can contribute to Policy-Making Processes ๐ 16th February 2024 โฐ 6pm EAT ๐ X Space One Young Tanzania Save the date โจShare with a friend. See you there!
Afrika inajifunza nini kutokana na Uchaguzi Mkuu wa #Senegal? Sikiliza uchambuzi ulioshiba kutoka kwa Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ambaye alikuwepo #Dakar kama mwangalizi wa Uchaguzi huo. youtu.be/PL69U_tKWlU?siโฆ
Hoja yako KC mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?