profile-img
Omar Said Shaaban

@omarshaaban80

ACT Wazalendo Principal Legal Counsel and Minister for Trade and Industrial Development (SMZ)

calendar_today25-10-2015 22:06:29

2,0K Tweets

8,0K Followers

624 Following

Omar Said Shaaban(@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Hoja yako KC mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…

Hoja yako KC mstaafu @zittokabwe na tangazo la kubadilika kwa jina la Tume limenifikirisha sana. Nimejaribu kufikiri kuhusu viapo vya Makamishna wa Tume. Wameapa kuitumikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sio Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Nikawaza hawa hawahitaji kuapa Upya ?…
account_circle