
Lucky Michael
@ms_luckymichael
🎯Women Empowerment | Leadership | Climate Action 👩🏽💻 🎯 Building @ecct_org #GlobalCitizen
ID: 1197533933568774145
http://www.ecct.or.tz 21-11-2019 15:15:33
41 Tweet
662 Followers
877 Following


Chachu ya mabadiliko huletwa na watu wachache wenye ari, hamasa, weledi na nguvu Kubwa, Asante Temeke na Wana Dar es salaam kuthibitisha hili #sikuyausafiduniani2020 Mussa Azzan Zungu Ofisi ya Makamu wa Rais NemcTanzania Msimamotz Mazingira Konekti


Thank you Urithi Wetu together we can!

Earlier today GlobalPeaceTanzania and Environmental conservation community of Tanzania @mbagala_recycle MeTL Group we carried out the New year beach Cleanup at Mbezi beach (Rainbow beach) This is our continuous effort of waging war against ending plastic pollution, we are hoping to achieve a record turnout. #Tanzania



ECCT on the world map in beating plastic waste pollution.We feel highly privileged and honored working with Empower Plastic Empower to make this journey of beating plastic waste pollution possible Ummy Mwalimu NemcTanzania #Beachcleanupmatters.





Kwa ufadhili wa JICA - Japan International Cooperation Agency siku ya janaTaasisi ya ECCT tumezindua mradi wa ugawaji wa vifaa vya kunawia mikono kwa shule 12 zilizopo wilayani Kisarawe. Shukrani za dhati kwa MH Jokate Mwegelo kwa kuzindua mradi huu. #Nawamikonokaziiendelee Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @wateraid_tanzania




