
Environmental conservation community of Tanzania
@ecct_org
Empowering communities for a sustainable future | Eco-fashion & women’s empowerment through the Eco Wear Project 👗 | Celebrating 5 years of impact
ID: 1221385328524697605
http://www.ecct.or.tz 26-01-2020 10:52:19
239 Tweet
603 Followers
244 Following

Kwa ufadhili wa JICA - Japan International Cooperation Agency siku ya janaTaasisi ya ECCT tumezindua mradi wa ugawaji wa vifaa vya kunawia mikono kwa shule 12 zilizopo wilayani Kisarawe. Shukrani za dhati kwa MH Jokate Mwegelo kwa kuzindua mradi huu. #Nawamikonokaziiendelee Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @wateraid_tanzania
