MJ™ (@mj0058) 's Twitter Profile
MJ™

@mj0058

Medical personnel

ID: 1583332251730935809

linkhttps://biolinks.cc/mj24 calendar_today21-10-2022 05:42:05

23,23K Tweet

4,4K Followers

3,3K Following

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Patrick Herminie Kiongozi wa Upinzani wa Seychelles ameshinda na kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi wa Rais kwenye kisiwa hicho cha Afrika. Patrick ameshinda kwa 52.7% huku Rais aliyekuwa madarakani akipata 47.3%. Rais aliyeshindwa amekubali matokeo na amempongeza mpinzani huyo.

Hii ni picha ya kwanza ya mateka wa kwanza wa Israel aliyeachiwa huru na kundi la Hamas leo hii kufuatia makubaliano ya amani ya Rais Trump. Mpaka sasa mateka saba wamekwisha achiwa na wengine 13 wataachiwa baadaye. Mateka hawa walikamatwa na Hamas miaka miwili iliyopita.