Afya muhimu (@mbanteze) 's Twitter Profile
Afya muhimu

@mbanteze

HEALTH ,POLITICAL AND FOOTBALL

ID: 1378406061497937920

calendar_today03-04-2021 17:57:10

13,13K Tweet

879 Followers

1,1K Following

Afya muhimu (@mbanteze) 's Twitter Profile Photo

Norway wanahuduma ya afya Bora Bora Sana Ndg Dr. Kala. MD hivi na huko Uk huduma zenu ni nzr au ni Kama za home boy tu Kule kakonko๐Ÿฅบ

Pizallo (@deeh1926) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ Unaikosoa serikali, wakati jana Umeomba horse ya chingchong๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ungepata sema umejisahau mzee wa Accountability ๐Ÿคฃ

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Mmeamua kuchagua upande wa kutunyonya,kutukandamiza na kutuua haya ni maamuzi yenu na tumeyaheshimu..Heshimumi maamuzi yetu pia ya kuchagua kapambania haki, maana wanaotulipa ni watu wawili tofauti(mnalipwa na sisiemu tutalipwa na Mungu)

#GWIJI๐Ÿ”ด (@athanas_pius) 's Twitter Profile Photo

Maandamano ni Ya Amani, Sasa Shida inaluaga Nini Mpaka Mtumie Vyombo vya Dola.. Silaha Pekee Waliyonayo Wananchi ni Mabango tu ๐Ÿ˜Š

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Leo Salim Kikeke na Crown Media amefanyakazi nzuri sana ya kuuhabarisha umma kuhusu matukio yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye Maandamano. Mungu akubariki sana kaka, chukua ๐Ÿ’ yako

Leo <a href="/Salym/">Salim Kikeke</a> na <a href="/CrownMediaTZ/">Crown Media</a> amefanyakazi nzuri sana ya kuuhabarisha umma kuhusu matukio yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye Maandamano.

Mungu akubariki sana kaka, chukua ๐Ÿ’ yako
Afya muhimu (@mbanteze) 's Twitter Profile Photo

Daaa Kuna askari police kaja kutibiwa nilivyomwandikia dawa za kutumia na kukuta hazipo famas ya hospital kaanza kusema Sasa hela anatoa wapi ya kununua akiomba nimbadilishie dawa mmmmm dawa zenyewe garama ya 15000 nyieee kumbe nao maaskari Wana shida tupu Tito Magoti

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Hakuna binadamu asie na mapungufu. Kama Mtanzania ambae sina chama na wala sijali mambo ya chama ila najali demokrasia ya nchi naomba leo niseme huyu jamaa ni mwanaumeโ€ฆ. . Mbowe ni kiongozi na ni mpinzani kweli. Again, narudia simaamishi kuwa hana mapungufu ila jamaa anajua

Hakuna binadamu asie na mapungufu.  Kama Mtanzania ambae sina chama na wala sijali mambo ya chama ila najali demokrasia ya nchi naomba leo niseme huyu jamaa ni mwanaumeโ€ฆ.
.
Mbowe ni kiongozi na ni mpinzani kweli. Again, narudia simaamishi kuwa hana mapungufu ila jamaa anajua
Afya muhimu (@mbanteze) 's Twitter Profile Photo

ACT WAZALENDO ni kama TTCL tu, wanaweza kusema mwaka mmoja wamesajili laini za wateja wapya milioni 10. Ila mauzo yao ya vocha kwa mwezi hayafiki hata milioni 1. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ze Planmaster (@zplanmaster) 's Twitter Profile Photo

Mimi nimesoma mazingira ya shida sana enzi hizo nasubiri hadi dingi awashe sigara halafu uwe mwanga wa sigara ndo natumia kujisomea๐Ÿ˜‚

Mimi nimesoma mazingira ya shida sana enzi hizo nasubiri hadi dingi awashe sigara halafu uwe mwanga wa sigara ndo natumia kujisomea๐Ÿ˜‚
Idrisa Kassim Rubibi (@rubibi_idrisa) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi kituo kidogo cha Kasanda wilaya Kakonko mkoa wa Kigoma. Wame mpiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 15 wakati wa maandamano ya wakina mama wa Kasanda kwa sababu ya mtoto wa Afisa maji kuchomwa na moto na mke wa askari Polisi. Risasi zinaendelea... 28-09-2024.

Jeshi la Polisi kituo kidogo cha Kasanda wilaya Kakonko mkoa wa Kigoma. Wame mpiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 15 wakati wa maandamano ya wakina mama wa Kasanda kwa sababu ya mtoto wa Afisa maji kuchomwa na moto na mke wa askari Polisi.

Risasi zinaendelea...

 28-09-2024.
Miss_Salum (@asiahsalum) 's Twitter Profile Photo

Kufanya unachokiweza hakukufanyi wewe kuwa strong, bali utakua strong na hodari kwa kuweza Kufanya kitu ambacho mwanzo ulidhani haukiwezi.