KILANGASU 😎
@kinasti13
SUKA/DRIVER🚛🚦 big fan arsenal
never complain never explain
ID: 1569639979873374208
13-09-2022 10:52:03
1,1K Tweet
300 Followers
314 Following
Chaguo la wananchi. Kati ya Tundu Antiphas Lissu na Freeman Mbowe nani kati yao anafaa kukiongoza chama hiki kikuu cha Upinzani kukivusha katika Giza hili totoro Re post kwa Lissu. 🔁 Like kwa Mbowe. ❤️
Karibu sana ofisini, Mwenyekiti wa nne katika awamu ya saba ya uchaguzi wa chama chetu, Tundu Antiphas Lissu. Wanachama wamekukabidhi mtoto wetu, CHADEMA. Umuongoze kwa miaka mitano. Tunalo jukumu moja kubwa mbele yetu. Kutafuta kuongoza Serikali kwa kupambana na INTERAHAMWE (MaCCM).