Joshua godo (@joshua71041407) 's Twitter Profile
Joshua godo

@joshua71041407

godo

ID: 1140199163029794817

calendar_today16-06-2019 10:07:19

518 Tweet

33,33K Followers

31,31K Following

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kabla sijaingia kwenye industry ya Hospitality sikuwahi kujua utofauti wa Hotel, Motel, Guest House n.k I'm sure wengi pia hawajui tofauti zake. Wacha Leo nizielezee hapa, watu wajue tofauti na operation za hizi nyumba za wageni ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Kabla sijaingia kwenye industry ya Hospitality sikuwahi kujua utofauti wa Hotel, Motel, Guest House n.k

I'm sure wengi pia hawajui tofauti zake.

Wacha Leo nizielezee hapa, watu wajue tofauti na operation za hizi nyumba za wageni ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Young Africans SC English (@youngafricansen) 's Twitter Profile Photo

๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—Ÿ๐—ฒ๐˜'๐˜€ ๐—š๐—ผ ๐˜๐—ผ ๐—ฅ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ. ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—Ÿ๐—ฒ๐˜'๐˜€ ๐—š๐—ผ ๐˜๐—ผ ๐—ฅ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ. ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

JIGGA BURNT ON ETHER ๐Ÿ’ฅ: Shida ilianza mnamo 1996 ambapo rapper Nasir Bin Olu Dara Jones(1973) alishindwa kutokea kwenye recording session ya kupika kibao โ€œBring it onโ€ ambacho kilipangwa kiwemo kwenye Debut album ya Shawn Corey Carter(1969) ,Reasonable Doubt๐Ÿงต

JIGGA BURNT ON ETHER ๐Ÿ’ฅ:

Shida ilianza mnamo 1996 ambapo rapper Nasir Bin Olu Dara Jones(1973)
alishindwa kutokea kwenye recording session ya kupika kibao โ€œBring it onโ€ ambacho kilipangwa kiwemo kwenye Debut album ya Shawn Corey Carter(1969) ,Reasonable Doubt๐Ÿงต
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Ukuta huu nautunuku kwa Martin Maranja Masese The monk merits a medal for being a voice of the least privileged citizens as far as their health is concerned. The true opposite version of the famous Oddo A critic who never minces words

Ukuta huu nautunuku kwa Martin Maranja Masese

The monk merits a medal for being a voice of the least privileged citizens as far as their health is concerned.

The true opposite version of the famous Oddo

A critic who never minces words
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Ukuta huu nautunuku kwa Boniface Jacob aka SAVIMBI The guy is too daring to encounter one-on-one with Police Force TZ whenever he thinks that citizens' rights are in danger of breach at the policemen's custodianship. A real Hoof-man and a cornerstone of the battalion of hand-to-mouth

Ukuta huu nautunuku kwa Boniface Jacob aka SAVIMBI

The guy is too daring to encounter one-on-one with Police Force TZ whenever he thinks that citizens' rights are in danger of breach at the policemen's custodianship.

A real Hoof-man and a cornerstone of the battalion of hand-to-mouth
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Katikati ya kikao Mwanaccm mmoja anamwambia mwenzake โ€œTunajua Mwenyekiti unaishi kinyumba na mwanaume mwenzio usione tunakunyamazia ukadhani hatujuiโ€ Halafu uvisisimizi ndo wanasema Twitter ifungiwe eti inahamasisha ushoga wakat CCM ndo inafuga mashoga

Kev Again (@cfckee2) 's Twitter Profile Photo

Chuma ilikua mafuta sana ๐Ÿ’”๐Ÿฅน Twin turbo sio ya kuchezea.. jamaa wanajiamini wanaweza kuwahi ku overtake.

Chuma ilikua mafuta sana ๐Ÿ’”๐Ÿฅน

Twin turbo sio ya kuchezea.. jamaa wanajiamini wanaweza kuwahi ku overtake.
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

JAMHURI YA watu wa TWITA mmejionea wenyewe kuwa WASANII na watu MASHUHURI wengi huwa HAWAPO pamoja na sisi kweny SHIDA zetu kubwa zaidi tukiwaomba MSAADA hata wa RT wanatuona kama VIKATUNI. Ila kweny SHIDA zao na KAZI zao SISI ndo tunakuwa MSTARI wa MBELE. TUACHE SHOBO KILA MTU

JAMHURI YA watu wa TWITA mmejionea wenyewe kuwa WASANII na watu MASHUHURI wengi huwa HAWAPO pamoja na sisi kweny SHIDA zetu kubwa zaidi tukiwaomba MSAADA hata wa RT wanatuona kama VIKATUNI.
Ila kweny SHIDA zao na KAZI zao SISI ndo tunakuwa MSTARI wa MBELE.
TUACHE SHOBO KILA MTU
Martin โ€ข M โ€ขCharles (@tzgiza) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA. AMEPOTEA Anaitwa ABDALA MAKUKA ana miaka 31 UR ni FT 5.8 mwenyeji wa Iringa tangu apotee ana siku ya tatu Leo hajulikani alipo msaada familia inalia kumtafuta kijana wao. NAOMBA RT YAKO KIJANA APATIKANE

AMEPOTEA      AMEPOTEA.       AMEPOTEA

Anaitwa ABDALA MAKUKA ana miaka 31 UR ni FT 5.8 mwenyeji wa Iringa tangu apotee ana siku ya tatu Leo hajulikani alipo msaada familia inalia kumtafuta kijana wao.

NAOMBA RT YAKO KIJANA APATIKANE
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Huyu kijana ni mwana X mwenzetu anaitwa Mrema Jr tangu issue ya JAPHET MATARRA imeanza amejitoa sana huko kwa ground ameacha shughuli zake tangu jumapili anafatilia mchakato wa Matarra , na leo pia ataendelea, akishirikiana na mawakili, watu wema bado wapo, Mungu amlinde.

Huyu kijana ni mwana X mwenzetu anaitwa Mrema Jr tangu issue ya JAPHET MATARRA imeanza amejitoa sana huko kwa ground ameacha shughuli zake tangu jumapili anafatilia mchakato wa Matarra , na leo pia ataendelea, akishirikiana na mawakili, watu wema bado wapo, Mungu amlinde.
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Alex Mendrad Mwalongo. ametoweka tangu tarehe 29/06/2024, Alikuwa anatoka kimara tumboni kuelekea Tegeta. Kwa yeyote atakae mwona, mawasiliano +255753115470. REPOST IFIKE MBALI....๐Ÿ™

Anaitwa  Alex Mendrad Mwalongo. ametoweka tangu tarehe 29/06/2024,

Alikuwa anatoka kimara tumboni kuelekea Tegeta.

Kwa yeyote atakae mwona, mawasiliano +255753115470.

REPOST IFIKE MBALI....๐Ÿ™