Engineer John Binder. (@johnbinder2000) 's Twitter Profile
Engineer John Binder.

@johnbinder2000

A Marine Engineer, A father, A Husband, A brother, A friend and a Colleague.

That guy who took that company to court for stealing his alfu 3, plus 1350.

ID: 1586301886558265344

calendar_today29-10-2022 10:20:56

443 Tweet

55 Followers

701 Following

António Guterres (@antonioguterres) 's Twitter Profile Photo

I'm extremely encouraged that countries have agreed on the UN legally binding instrument to ensure the conservation and sustainable use of marine biological diversity of areas beyond national jurisdiction. This is an important step to protect our oceans.

UFM Radio (@ufmradiotz) 's Twitter Profile Photo

#CAFCL Mnyama anaendelea kutakata katika kuwania kutinga robo fainali… 70’: Simba 6-0 Horoya Tupo #LIVE kwenye Youtube channel ya UFMRADIOTZ na 107.3 UFM Radio. #UFMUpdates #CAFCL #CAFChampionsLeague #CCL #SimbaSC #HoroyaAC #SimbaHoroya #LigiYaMabingwaAfrika

#CAFCL Mnyama anaendelea kutakata katika kuwania kutinga robo fainali…

70’: Simba 6-0 Horoya 

Tupo #LIVE kwenye Youtube channel ya UFMRADIOTZ na 107.3 UFM Radio.

#UFMUpdates #CAFCL #CAFChampionsLeague #CCL #SimbaSC #HoroyaAC #SimbaHoroya #LigiYaMabingwaAfrika
Tunu Hassan (@tunuhassan) 's Twitter Profile Photo

MR HAT TRICK Simba 6-0 Horoya ⚽️Chama ⚽️Baleke ⚽️ Chama (p) ⚽️Kanoute ⚽️Baleke ⚽️Chama Afadhali tunapata cha kusimulia wajukuu InshaAllah kheee ..!!🙌🏻 Huyu Chama mpaka ampige mtu chenga ndiyo afunge aone raha bila ya hivyo hasikii raha kabisa. 😂😂😂

MR HAT TRICK 

Simba 6-0 Horoya

⚽️Chama
⚽️Baleke
⚽️ Chama (p)
⚽️Kanoute 
⚽️Baleke 
⚽️Chama

Afadhali tunapata cha kusimulia wajukuu InshaAllah  kheee ..!!🙌🏻

Huyu Chama mpaka ampige  mtu chenga ndiyo afunge aone raha bila ya hivyo hasikii raha kabisa.

😂😂😂
Thabit Jacob, PhD (@thabitsenior) 's Twitter Profile Photo

Simba's recent consecutive #CAFCL quarterfinal appearances means many are taking qualifications for granted, it's kind expected every year now. But it's tough to make it out of the groups. Zamalek out, Ahly not sure yet. Vita, Merrikh won't make it. Let's be proud #NguvuMoja

Simba's recent consecutive #CAFCL quarterfinal appearances means many are taking qualifications for granted, it's kind expected every year now. 

But it's tough to make it out of the groups. Zamalek out, Ahly not sure yet. Vita, Merrikh won't make it. Let's be proud #NguvuMoja
Simba Queens Tanzania (@simbascpictures) 's Twitter Profile Photo

HUYU NDIYE CHAMA 👏 ◽Clatous Chama ndiye Mchezaji wa KWANZA kuifungia Simba SC hat-trick katika hatua ya makundi ya CAFCL. ◽ Mzambia wa kwanza kufunga hat-trick kwa upande wa Tanzania kwenye CAFCL

HUYU NDIYE  CHAMA 👏

 ◽Clatous Chama ndiye Mchezaji wa KWANZA kuifungia Simba SC hat-trick katika hatua ya makundi ya CAFCL.

 ◽ Mzambia wa kwanza kufunga hat-trick kwa upande wa Tanzania kwenye CAFCL
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Mechi ya kwenda nusu fainali ya #TotalEnergiesCAFCL Muda wa mchezo umebadilishwa na sasa utachezwa saa 2:00 usiku ya hapa Morocco sawa na saa 4:00 usiku kwa Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja

Mechi ya kwenda nusu fainali ya #TotalEnergiesCAFCL 

Muda wa mchezo umebadilishwa na sasa utachezwa saa 2:00 usiku ya hapa Morocco sawa na saa 4:00 usiku kwa Tanzania.
#WenyeNchi 
#NguvuMoja
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kuweka akiba ya maneno ni pamoja na kukwepa kutumia maneno yenye kuhitimisha kama 'kamwe', 'asilani', 'daima', 'kila mtu' au 'wote'. Penda kutumia 'labda', 'pengine', 'huenda', 'kwa kiasi kikubwa' haya yatakupa fursa ya kujinasua mbeleni". ~Togolani Mavura.

"Kuweka akiba ya maneno ni pamoja na kukwepa kutumia maneno yenye kuhitimisha kama 'kamwe', 'asilani', 'daima', 'kila mtu' au 'wote'. Penda kutumia 'labda', 'pengine', 'huenda', 'kwa kiasi kikubwa' haya yatakupa fursa ya kujinasua mbeleni". ~Togolani Mavura.
Joseph Oleshangay (@oleshangay) 's Twitter Profile Photo

Huyu Sheikh Mwaipopo anasema Lissu ana kesi ya kisiasa ila kwa nn mlalamike? Anasema mbona Oginga Odinga alishapewa kesi? Uganda wanapakazia watu kesi? Kwake anasema kwa nini iwe NONGWA Lissu kubambikwa kesi? Kuna watu wana matatizo ya akili. Huyu ni mmoja wa hao

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni muumini wa UTETEZI wa Wanaoonewa. Kila moja wetu ana WAJIB wakutetea wanaoonewa. Swali: Kwani kazi ya Serikali ni KUONEA? Kama kazi ya Serikali si KUONEA basi tuna wajib kuikumbusha pale tunapoona INAONEA!