🆔 ᴏɴ ᴘᴏɪɴᴛ
@jacq_360
I don't publish to famours📍proud To Be Tanzanian🇹🇿
#uaminifukwanza✍️
For Whatsapp wa.me/+255764105836 #ArsenalFc #DstvTanzania #1xbet
ID: 1746263601399181312
13-01-2024 20:11:21
1,1K Tweet
264 Followers
623 Following
Mwenyekiti Freeman Mbowe heri ya siku yako ya kuzaliwa. Umefanya mengi katika siasa. Wewe ni kiongozi, kwa wengine ni kaka na rafiki. Endelea kuishi tukufuate kwa mengi mazuri. Umepigana vyema vita ya mageuzi. Umetufikisha pa-refu. Umetupa zawadi nzuri ya CHADEMA. Tutailinda.✌🏾