𝗪𝗔𝗞𝗨𝗨...🙏
Kamwe usione aibu kupambana,
Hakuna aibu ya kunuka jasho unapotafuta hela ya perfume,
Tafuta pesa, fanya mazoezi, nunua vitu unataka
Maneno ya watu kamwe hayatokulipia bili zako.
Ukibahatisha kupata mke bora mtunze sana, hata ukiwa na kamchepuko kako, hakikisha wife home hajui, Tafiti zinaonesha kwenye watu 10 walioa ni watu wawili tu hupata mke, 8 hupata watu wenye maumbile ya kike ila hawana sifa za MKE,,
Ukibahatisha mtunze ✍️
Umemaliza chuo ila bado una deal na DREAM LEAGUE na PES bila uhakika wa income on daily bases.
Bado unadanganywa na kodi inayosoma mpaka mwezi wa 10 au 11.
Bado unajidanganya na kiasi ulicho save na hautaki kurudi home kwa namna yoyote.
Bro haupo safe.
Kosa la kwanza kwa
Josip Iličić: Mwamba aliyepotea kisoka baada ya kumfumania Mke wake.
Josip Iličić ni mchezaji wa mpira wa miguu aliyewahi kutikisa ulimwengu wa soka kwa uwezo wake wa kiufundi na magoli ya kipekee. Akiwa katika kilele cha uwezo wake na Atalanta, Iličić alikumbwa na changamoto ya
Kuna kipindi nlikuwa sina kazi kiasi wapangaji wenzangu wote walinikariri mie jobless alafu ndo muda wote nipo home sinaga pa kwenda ukiachilia mbali hata nikiamua kwenda sehemu nauli sina wao wana kazi 😪sa kulikuwa na group la wapangaji yaan kila anaenunua Umeme anatupia humo
"Lengo langu la Kwanza ni Kubadirisha Mifumo ya Utawala, na Hivi karibu tatabadirisha Katiba yetu ambayo ilikua inampa Nguvu Mtu Mmoja, Tutatengeneza Katiba itakayokua na Nguvu kwa WanaNchi wa Burkinafaso, hatutaki katiba inayomfanya Kiongozi Kua mungu Mtu" :~Capt: Ibrahim Traole
Dunia ni uwanja katili kwa watu maskini. Dunia haiwezi kukuonea huruma kwa sababu wewe ni maskini. Usiuzimie na kuhududu umaskini. Usikubali kuitwa mnyonge. Ukiwa masikini ni ngumu sana kuwa gentleman. Hakuna upendo kwenye umaskini. Hauwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala.
Ukweli usiosemwa
NB: Hii ni ngumu kumeza
Dunia ni tambarare na haizunguki yenyewe wala haizunguki jua bali jua na vitu vyote angani vinaizunguka dunia.
Na milango yetu yote ya fahamu inatuambia hivyo maana jua tunaliona kila siku linavyotuzunguka, kwasababu tunaliona mizunguko
Namsikiza Mheshimiwa Lissu hapa Power Breakfast ya CLOUDS FM, TAL anasema akichaguliwa sawa na asipochaguliwa hakuna shida itabaki tu kuwa hakuwahi kuwa Mwenyekiti wa CDM.
Ila anauliza kelele zinatoka wapi wakati hata FAM hajatangaza nia ya kugombea Uenyekiti?😀
Weka chuki pembeni, leo Arsenal wamepiga mpira kweli kweli na wamestahili kushinda hii game. Wape Retweet na Like iwe kama sehemu ya kuonesha Respect kwao.
Wengi wameona maajabu ya Arsenal ya kuifunga Madrid Magoli Matano (5) tena home and away na kuindoa kwenye UEFA, lakini wachache wametambua Ubora wa Mikel Arteta kwenye kuisuka hii timu. Huyu mwamba ni kocha kweli kweli. Tumpe heshima yake kwa kuretweet mpaka ujumbe huu umfikie.
Nimekua kwenye mahusiano tofauti... Nimeona mengi. Ila ushauri wangu kwa Wanaume, tafuta Mwanamke angalau anaweza kujihudumia kwa kiasi fulani. Ukiona Mwanamke hadi akitaka kuosha kucha anataka pesa utoe wewe, huyo HAFAI.. KIMBIA
Mzaliwa wa Gungu huko Magharibi mwa Tanzania mwisho wa reli Kigoma, zao la Academy ya Alliance hapo Jiji la Miamba, Mwanza naweza kusema ndio Mwanaume pekee aliyebaki hai kwenye dimba la Simba, kaimaliza mechi bila kadi kwasababu moja tu, alicheza sana mpira wa akili, makosa ya