Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profileg
Gift Macha

@gift_macha

Media Influencer

ID:1426101529900163073

calendar_today13-08-2021 08:42:43

3,9K Tweets

310,8K Followers

115 Following

Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Yanga wanapata sare dhidi ya JKT pale Isamuyo leo.. Wanadondosha alama mbili.. Kwenye Uwanja ule mgumu wala haishangazi.. Hakukua na ufundi wala ujuzi.. Yeyote angeweza tu kufungwa

account_circle
Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Pamba FC ikishinda mechi ya mwisho ya Championship dhidi ya Mbuni ya Arusha rasmi itakua imepanda Ligi Kuu..

ISHU YA DRESSING ROOM IKO HIVI
Simba na Yanga wote hawajatumia vyumba vya kubadilishia nguo kwa madai hewa ni nzito.. Hakuna aliyeingia vyumbani.. Hakuna aliyeingia kupitia mlango rasmi..

ISHU YA DRESSING ROOM IKO HIVI Simba na Yanga wote hawajatumia vyumba vya kubadilishia nguo kwa madai hewa ni nzito.. Hakuna aliyeingia vyumbani.. Hakuna aliyeingia kupitia mlango rasmi..
account_circle
Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Wakati tukiendelea kuamini Ihefu ni timu tishio mzunguko wa Pili wa Ligi.. Imeshinda mechi MOJA tu kati ya SABA za mwisho.. Imepokea vipigo vitatu na sare tatu.. Kunani Ihefu SC?

OFA YA MATANGAZO

Kesho Ijumaa nitaposti Tangazo moja kwa 12,000 tu.

Njoo DM ujue utaratibu wa kulipia na kutuma Tangazo lako.

NB. Vigezo na Masharti kuzingatiwa

account_circle
Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Nimachojua Azam FC haijawahi kukataa kuvunja mkataba na Dube.. Walichotaka ni afuate utaratibu tu wa kuvunja huo mkataba.. Mbona simple tu

Azam FC imecheza mechi 16 za Ligi Kuu bila kupoteza.. Ikiwemo mechi kubwa dhidi ya Yanga na Simba.. Na hapo wana majeruhi kibao.. Dube kagoma na hawana straika.. Kuna kitu huyu Mwamba anakisuka pale Chamazi.. Msimu ujao wanaweza kuwashangaza wengi

Stephane Aziz Ki.. Aliwafunga Simba akiwa na ASEC.. Amewafunga mara mbili akiwa na Yanga.. Kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu.. Mchezaji wa kuchungwa sana huyu

Aishi Manula.. Golikipa bora wa nchi katika nyakati hizi.. Inaumiza kuona majeraha yanataka kumaliza ubora wake mapema

'Yanga tunaitazama Simba kama timu yenye viongozi makini, ukiniambia nitaje viongozi makini kwenye ligi, Simba siwezi kuwaacha, wanauzoefu na mipango ya kushinda mechi,' @alikamwe Meneja Habari na
Mawasiliano Yanga Sc

'Yanga tunaitazama Simba kama timu yenye viongozi makini, ukiniambia nitaje viongozi makini kwenye ligi, Simba siwezi kuwaacha, wanauzoefu na mipango ya kushinda mechi,' @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano Yanga Sc
account_circle
Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Simba dhidi ya Ihefu SC leo.. Mechi muhimu sana kwa Mnyama kabla ya Dabi ya Kariakoo.. Ihefu ni wagumu kweli.. Ila Mnyama anatakiwa kushinda ili aende kwenye Dabi akiwa na morali na hali ya kujiamini zaidi.

Karata ya mwisho kwa Simba kuweka hesabu zake sawa msimu huu ipo Aprili 20 .. Dhidi ya Yanga.. Wakishindwa hapo, watakua wamemaliza msimu PATUPU

DABI YA KARIAKOO.. Hii mechi imebeba hatma ya ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.. Yanga akishinda anajihakikishia ubingwa.. Simba akishinda anafufua matumaini ya ubingwa…