Grayslim Edo (@grayslim82) 's Twitter Profile
Grayslim Edo

@grayslim82

ID: 1740108116321001472

calendar_today27-12-2023 20:32:08

1,1K Tweet

45 Followers

258 Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kaswahili bado hapatikani !!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Who will be the next ? Good guy

Kaswahili bado hapatikani !!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Who will be the next ? Good guy
GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

"Ushauri wangu ni Kwamba Kama Dini haingiliani na Siasa Basi Wakati Wanasiasa wanapokula Viapo Wasishike Kitabu Cha Dini Washike Matumbo yao" :~ Padre. Charles Kitima (Katimbu Mkuu wa Maaskofu TANZANIA) #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

"Ushauri wangu ni Kwamba Kama Dini haingiliani na Siasa Basi Wakati Wanasiasa wanapokula Viapo Wasishike Kitabu Cha Dini Washike Matumbo yao" :~ Padre. Charles Kitima (Katimbu Mkuu wa Maaskofu TANZANIA)

#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Sawa endeleeni Mzee. Umefurahi sasa ? Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.

Sawa endeleeni Mzee. Umefurahi sasa ? 

Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague Young Africans SC 2-0 Simba SC Kiko Wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague

Young Africans SC 2-0 Simba SC

Kiko Wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kama toka awali ulishasema NRNE na ukaendelea kusimamia msimamo huo. Basi acha shobo za kupost post sijui Arusha mchuano utakuwa mkali. Mara ooh Kawe patachimbika. Acha mihemko focus na agenda yako ya awali. Mnafanya Endorsement za bure na kuhalalisha mnachokipinga….. STOP

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Dira gani ya kukandamiza wapinzani wa serikali? Dira: Mdude, Soka, Kipanya, Mlay na mamia ya watu hawajulikani walipo. Dira ya kweli ni ile inayolinda utu, uhuru, haki ya kuishi, demokrasia ya kweli na Uchumi wa watu wote. #NoReformsNoElection

M A G I R I (@kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

Mimi sioni shida Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira, shida yangu wakati yeye kashitakiwa kwa ugaidi Lissu alikuwa all over akishinikiza “Mwachieni Mwenyekiti wetu” si kwenye media, social media au mikutanoni. Unaweza kuwa government ASSET lakini sometimes inabidi uwe na haya.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Message sent! Ukistaafu alafu kila kukicha unaonekana ubavuni wa mwenye ofisi si sawa! Mshauri unashauri nini hadi mikutano unaenda kuwakilisha kimataifa 🙄 Hapa ndo penyewe 🔥 asante Kanisa Katoliki🙏🏽 #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Muachieni Mwenyekiti wetu, Rais Samia Suluhu unatumia mamlaka yako, kumkandamiza mpinzani wako mkuu tena mwaka wa uchaguzi kwa kesi ya uongo. Tanzania inajua na Dunia inajua.

Emmanuel chacha Christopher (@immamtanganyika) 's Twitter Profile Photo

Ni Kazi ya nguvu ya umma kuhakikisha huu ujumbe wa Nuru Okanga kutoka kenya unamfikia SIMBA..!🦁 Anayesimanga vijana wa kitanzania . REPOST za kutosha Hapa .