Em (@eliaskasanzu) 's Twitter Profile
Em

@eliaskasanzu

ID: 2178202311

calendar_today12-11-2013 13:32:32

27,27K Tweet

360 Followers

1,1K Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO๐Ÿ“ Maaskofu, Wachungaji na baadhi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima wakiwa nje mahakamani wakimsikiliza wakili wao Peter Kibatala baada ya kesi yao kuahirishwa.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huyu kibaka ndiye aliyetumia kumnyanyasa Lissu Mahakamani Washenzi kama hawa wako wengi kwenye mfumo wanatumika kama Toilet ๐Ÿšฝ kuvunja haki za Watu Anafanya upumbavu kwa niaba ya kina Samia wakati mwenzake anavaa magauni ya Bei sana na mshahara wake wa miaka mitatu Huu

Huyu kibaka ndiye aliyetumia kumnyanyasa Lissu Mahakamani 

Washenzi kama hawa wako wengi kwenye mfumo wanatumika kama Toilet ๐Ÿšฝ kuvunja haki za Watu

Anafanya upumbavu kwa niaba ya kina Samia wakati mwenzake anavaa magauni ya Bei sana na mshahara wake wa miaka mitatu 

Huu
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanangu hiyo simu ya ASKARI wa magereza kila muda ipo BIZE. Ngโ€™ora zinaingia kila wakati.๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜‚ Safi endeleeni kupeleka moto, msiache kuandika meseji za kutosha.

Wanangu hiyo simu ya ASKARI wa magereza kila muda ipo BIZE. Ngโ€™ora zinaingia kila wakati.๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜‚

Safi endeleeni kupeleka moto, msiache kuandika meseji za kutosha.
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

KILICHOJIRI LEO MAHAKAMA KUU - KESI YA MHE. TUNDU LISSU "Tuliiomba Mahakama Kuu - Dar es salaam iweze kutengua mwenendo wa kesi wa tarehe 2 Juni 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Baada kufika hapa tulisikizwa na leo ilikuwa siku ya uamuzi, maombi yetu yametupiliwa

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

RATIBA YA KESI. TAR. 14 - KESI YA MGOGORO WA MGAWANYO WA MALI ZA CHADEMA (MAHAKAMA KUU) TAR. 15 - KESI YA UHAINI NA UCHOCHEZI DHIDI YA TUNDU LISSU (MAHAKAMA YA KISUTU) TAR. 16 - KESI YA LISSU KUPINGA MAAMUZI YA MAHAKAMA YA KISUTU KURUHUSU MASHAHIDI KUFICHA SURA (MAHAKAMA KUU).

RATIBA YA KESI.

TAR. 14 - KESI YA MGOGORO WA MGAWANYO WA MALI ZA CHADEMA (MAHAKAMA KUU)

TAR. 15 - KESI YA UHAINI NA UCHOCHEZI DHIDI YA TUNDU LISSU (MAHAKAMA YA KISUTU)

TAR. 16 - KESI YA LISSU KUPINGA MAAMUZI YA MAHAKAMA YA KISUTU KURUHUSU MASHAHIDI KUFICHA SURA (MAHAKAMA KUU).
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Msikilize vizuri Mh. Jaji Mkuu wa Tanzania.Haya ya Kifuatwa ndiyo haswaa Msingi wa Utawala wa Sheria.Huu ni muelekeo mpya na Chanya kuirejesha na kuifanya Mahakama yetu kuwa Mahakama inayowajibika kwa Umma.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kama wao kwa wao wanafanyiana uhuni itakuwaje kwako wewe. Reform sio kwaajili ya Chadema tu kila mtu mwenye akili timamu anapaswa kupigania mabadiliko ili kuokoa Nchi hii. #NoReformsNoElection

Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

We do hold the Tanzanian Police fully responsible with her security as the Immigration Service has placed Brenda into its hands. If anything bad happens to her,then it is the Tanzanian Police Force that will be held accountable. Brenda should be freed with immediate effect.

Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Ukiukwaji wa haki ya kusafiri hakutavumiliwa. Ibara ya 17 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania i wazi kabisa Kila Mtanzania ana haki ya kwenda atakako nje au ndani ya nchi.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

We are highly concerned and demamd the release of Brenda Rupia Jonas #Tanzania #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia Free Her NOW Police Force TZ Samia Suluhu

We are highly concerned and demamd the release of <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a> 
#Tanzania 

#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 
#FreeBrendaRupia 

Free Her NOW 
<a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

The news that Brenda Rupia, Director of Communication for CHADEMA has been arrested at Namanga while intering Kenya and that her pasport has been confiscated are disturbing. We demand the government to explain the reasons gor restricting opposition leaders from travelling outside

The news that Brenda Rupia, Director of Communication for CHADEMA has been arrested at Namanga while intering Kenya and that her pasport has been confiscated are disturbing. We demand the government to explain the reasons gor restricting opposition leaders from travelling outside
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#Updates Wanachama wetu wamefika kwa OCCID wa Namanga ili kujua hatma ya Brenda Rupia Jonas lakini OCCID kawaambia kwamba Brenda ameshasafirishwa yupo Central Arusha. Viongozi wa Chama wa Arusha wamefika Central wameambiwa Brenda hayupo lakini kuna Polisi msamaria mwema katutaarifu

#Updates

Wanachama wetu wamefika kwa OCCID wa Namanga ili kujua hatma ya <a href="/BrendaRupia/">Brenda Rupia Jonas</a> lakini OCCID kawaambia kwamba Brenda ameshasafirishwa yupo Central Arusha.

Viongozi wa Chama wa Arusha wamefika Central wameambiwa Brenda hayupo lakini kuna Polisi msamaria mwema katutaarifu
LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA: Mtaalam wa Raslimali na Uwekezaji wa Chadema, Leonard Magere amekamatwa muda huu na Uhamiaji Tanzania kwenye Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere. Magere alikuwa anakwenda London Uingereza kuhudhuria Mafunzo ya Uwekezaji. Ikumbukwe Brenda Rupia Jonas pia amezuiwa leo kutoka nje ya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Samia imejaa wajinga watupu Wanavizia viongozi wa CHADEMA mipakani na kusema walikuwa na kesi Wakati kwenye passport kuna makumi ya viongozi wa CHADEMA wamewekewa stoo Wengine ni wana CHAMA tu waandamizi Mwachieni Brenda #FreeBrendaRupia

Serikali ya Samia imejaa wajinga watupu

Wanavizia viongozi wa CHADEMA mipakani na kusema walikuwa na kesi

Wakati kwenye passport kuna makumi ya viongozi wa CHADEMA wamewekewa stoo

Wengine ni wana CHAMA tu waandamizi

Mwachieni Brenda #FreeBrendaRupia
LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

NOTICE: Chadema's Investment and Capital Expert, Leonard Magere, has been arrested by Uhamiaji Tanzania at JK Nyerere Airport. Magere was traveling to London, UK, to attend investment training. It should be noted that Brenda Rupia Jonas was also barred from leaving ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ today.