Joe bushy (@bushizejohn1) 's Twitter Profile
Joe bushy

@bushizejohn1

Peace Activists πŸŒŽβ€¦β€¦.. love your life || Every one has a story to tell

ID: 1376216576983236623

calendar_today28-03-2021 16:59:15

575 Tweet

324 Followers

653 Following

Isaya Yunge (@isayayunge) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji msimamo wa kiroho ulio mara mbili ya janaβ€”kujiamini kama Daudi mbele ya Goliathi. Maombi na uthabiti wa moyo vitarejesha usawa, haki, amani hata katikati ya tufani.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kulala usiku wa leo, weka simu pembeni kisha tumia dakika 15 ukiwa katika ukimya ukitafakari maisha yako. Baada ya hapo anza kusali, zungumza na MUNGU wako, mshukuru kwa zawadi ya afya na uhai na umuombe ayaongoze maisha yako daima na afanikishe mipango na ndoto zako.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Maisha hayaji na ramani kwamba unapaswa uifuate hadi ikufikishe kwenye Mafanikio. Wakati mwingine kwenye maisha inabidi uanze upya ili upate mafanikio unayoyataka. Mahusiano huvunjika, marafiki huondoka, mipango huwa inakwama, kazi zinapotea ila usiogope kuanza tena Upya.

Global Peace Foundation (@globalpeace) 's Twitter Profile Photo

β€œThere are approximately 40,000 diaspora Koreans living in the UK, living as a diverse community, with over 20,000 of them living in New Malden.” Mrs. Misoon Kim, President, Action for Korea United-UK #Korea80 #KoreanDream #OneDreamOneKorea #KoreanDream10MilCampaign #GlobalPeace

Global Peace Foundation (@globalpeace) 's Twitter Profile Photo

β€œKorean-Americans must express their will and determination for unification. We must explain why international cooperation is essential. We need broad international consensus.” Ms. Yusook Kim, President, Alliance for Korea United-Washington #Korea80 #KoreanDream #GlobalPeace

hamza Lule (@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Bro to Young Bro Code Usiogope kuitwa Broke guy/ Mvulana au Maskin sababu tu umeshindwa kuimpress mtu na Bills zake Just take time save na wekeza kwa ajili ya Maisha yako Hakuna mtu atakusaidia kutatua changamoto zako zaidi yako ww mwenyewe Jipende

John kalage πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Vitu ambavyo sio vya muhimu kuvijua 1. BRELA = Business Registrations and Lecensing Agency 2. TRA = Tanzania Revenue Authority 3. TPDF =Tanzania People Defense Forces 4. TIN = Taxpayer Identification Number 5. TCRA = Tanzania Communication Regulatory Authority 6. TMDA = Tanzania

Vitu ambavyo sio vya muhimu kuvijua

1. BRELA = Business Registrations and Lecensing Agency
2. TRA = Tanzania Revenue Authority
3. TPDF =Tanzania People Defense Forces
4. TIN = Taxpayer Identification Number
5. TCRA = Tanzania Communication Regulatory Authority
6. TMDA = Tanzania
Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

Dear son, She got a new boyfriend. You got a new life. God has saved your life. Please never go back to anything that God has already saved you from.

TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Hello wapendwa ziwa limefungwa giza upande wa dagaa, dagaa wapo Kahama pekee hivyo huduma zitakazokuwepo kwa sasa ni samaki wote ikiwa ni sangara, sato, fillets na vibambala bila kusahau mayai na mafuta ya samaki πŸ“Mwanza Karibuni sana

Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

Dear son, If you aren't married, 1. Stop having sex. 2. Stop trying to have sex. 3. Stop seeking marriage just for sex. Marriage is a blessing, and sex is a gift from God. Sex will destroy you if you don't do it the way God desires. Let that sink in.