Big Size (@bigsize522079) 's Twitter Profile
Big Size

@bigsize522079

ID: 1900167088993386496

calendar_today13-03-2025 12:51:05

630 Tweet

48 Followers

318 Following

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Gwaji Boy, uliona mbali. Hayati, shujaa wetu JPM anatabasamu huko aliko. Shikilia hapo hapo. Leseni yako ni ya kuendesha Dreamliner. Usithubutu kuendesha Guta wala Bajaji. By the way, Jerry Muro na Musukuma wote ni Team shujaa. Nashangaa leo wameuza kambi.

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Ila Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธAIBUUUU YA TAIFA SAFIIIIIII โ€ผ๏ธ Haya UVCCM njoeni apa mseme ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Msukuma kawekwa apo na mtoto wa shule ya msingi Kenya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wakenya wamefungulia mashine zote. Samia Suluhu ikulu_Tanzania Dkt. Doto Biteko Kassim Majaliwa Majaliwa Jakaya Kikwete

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

The Breakfast Clubโ€ ni kipindi maarufu cha redio cha asubuhi kinachorushwa kutoka New York City kupitia kituo cha Power 105.1 FM. Kipindi hiki kinaendeshwa na watangazaji watatu: 1.Charlamagne Tha God (Lenard McKelvey) 2.DJ Envy (RaaShaun Casey) 3.Angela Yee

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#SupaBreakfast: Eugen Kabendera- aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya chama hiko kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge Kwa urefu Zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU Kata ya Muriet mkoani Arusha, Steven Jacob akitoa mahubiri kwa waumini wake.

Juma G ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@jumaf3) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu Hassan is a Form 4 dropout? ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”. Bwana, how terrible is Tanzania? No wonder Oscar Sudi reasons better than her ... Form 4 ya Tanzania... ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

OscarOscar (@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Kusema Kenya hawatuzidi chochote ni kujidanganya. Mjadala haukutakiwa kuhusisha nchi na nchi wala Bunge na Bunge. Ungejikita tu kwenye kikundi kidogo tu cha watu.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

JOHN MREMA Leo Kayakanyaga VAR Kama Kawaida Kidogo Akimbie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ JOHN MREMA Akitua Kwenye Mikono Ya CHIEF ODEMBA Lazima Atatoa Haja Kubwa Studio. Tunaomba Umfanyie Mahojiano Huyu Mrema VAR Iwepo ๐Ÿ™ Edwin Odemba