Smart and blessed. (@andy_jd3) 's Twitter Profile
Smart and blessed.

@andy_jd3

Businessman, Farmer, Traveller.God fearing.
There's no nobility in poverty.

ID: 978123036

calendar_today29-11-2012 11:13:11

29,29K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Yani hapo majirani wanatuuliza hao ndio wana akili mliwachagua kuwawakilisha? ndio “think tank ya nchi” ? unakosa hata majibu

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

IS PARLIAMENT PREPARING FOR THE EXTERMINATION OR ELIMINATION OF ACTIVISTS WITHIN AND OUTSIDE TANZANIA? In all sincerity, I am a Human Rights Activist, a proponent of Good Governance, and a defender of the rights of Tanganyikans to manage their non-Union natural resources. I

IS PARLIAMENT PREPARING FOR THE EXTERMINATION OR ELIMINATION OF ACTIVISTS WITHIN AND OUTSIDE TANZANIA?

In all sincerity, I am a Human Rights Activist, a proponent of Good Governance, and a defender of the rights of Tanganyikans to manage their non-Union natural  resources.

 I
MOSET (@kekirwa) 's Twitter Profile Photo

Avoid buying land among poor people. Utakuwa unasolve kesi za upuzi na majirani kila siku. Nunua shamba among business people, successful farmers ama civil servants. You'll greatly benefit from their social capital.

mhd (@mhdhamad) 's Twitter Profile Photo

Jamii Forums Ingekuwa nina uwezo wa kumfikia ba kumshauri Mwenyekiti wa Chama ile day one baada ya press ya Gwajima angetoa maelekezo asijibiwe na kiongozi wala mbunge yoyote na itakapo bidi wahusika iwe wizara au vyombo vikivyotajwa ndio vijibu. Hii wanao ongea wana hisi wanakisaidia Chama

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mwanachama wa #CCM aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ametuma ujumbe kwa Rais Samia Suluhu kupitia Ukurasa wake wa Instagram akisema “Uzalendo ni kuweka siri ila uzalendo zaidi ni kutofanya hayo yanayovujishwa ili kutakiwa kubakishwa sirini.” Ameandika

Mwanachama wa #CCM aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ametuma ujumbe kwa Rais Samia Suluhu kupitia Ukurasa wake wa Instagram akisema “Uzalendo ni kuweka siri ila uzalendo zaidi ni kutofanya hayo yanayovujishwa ili kutakiwa kubakishwa sirini.”

Ameandika
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amekemea vitendo vya Watu kutekwa nchini Tanzania na kusisitiza kuwa Wananchi wanaokosoa hawapaswi kuzuiwa kutoa maoni yao na Mtu yeyote. Akiongea leo May 27,2025 Jimboni kwake Kisesa Mkoani Simiyu, Mpina amesema yafuatayo “msimamo wangu

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Kuvujisha siri ni utovu mkubwa wa maadili na ni kosa kubwa ila kufanya yale yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi wa maadili na ni kosa kubwa zaidi. Uzalendo ni kuweka siri ila uzalendo zaidi ni kutofanya hayo yanayovujishwa. Ili kutakiwa kubakizwa Sirini kama wanaokosea ni

"Kuvujisha siri ni  utovu mkubwa wa maadili na ni kosa kubwa ila kufanya yale yanayovujishwa ni ukosefu mkubwa zaidi wa maadili na ni kosa kubwa zaidi. Uzalendo ni kuweka siri ila uzalendo zaidi ni kutofanya hayo yanayovujishwa.

Ili kutakiwa kubakizwa Sirini kama wanaokosea ni
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

UGANDA: Rais #YoweriMuseveni na Mkewe Janet Museveni ambaye ni Waziri wa Elimu na Michezo, wameomba msamaha hadharani, wakikiri kuwepo kwa mapungufu katika Utawala wao, #Rushwa na kuwatelekeza Wananchi, hasa wa eneo la Buganda, wakati joto la kisiasa likizidi kuelekea Uchaguzi

UGANDA: Rais #YoweriMuseveni na Mkewe Janet Museveni ambaye ni Waziri wa Elimu na Michezo, wameomba msamaha hadharani, wakikiri kuwepo kwa mapungufu katika Utawala wao, #Rushwa na kuwatelekeza Wananchi, hasa wa eneo la Buganda, wakati joto la kisiasa likizidi kuelekea Uchaguzi
Cyprian, Is Nyakundi (@c_nyakundih) 's Twitter Profile Photo

Authorities in Voi, Taita-Taveta County, were stunned on Wednesday after intercepting a Toyota Harrier transporting a live young elephant wrapped in its boot. The vehicle, driven by a well-known businessman, aroused suspicion at a police checkpoint due to its unusual rear

Authorities in Voi, Taita-Taveta County, were stunned on Wednesday after intercepting a Toyota Harrier transporting a live young elephant wrapped in its boot.

The vehicle, driven by a well-known businessman, aroused suspicion at a police checkpoint due to its unusual rear