Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profileg
Peter Madeleka

@PMadeleka

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

ID:1387685001534316546

calendar_today29-04-2021 08:28:16

8,6K Tweets

94,7K Followers

5,6K Following

Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa DAR ES SALAAM umejaa AMANI na Wananchi wake wapo “SALAMA SANA”. Katika MAZINGIRA hayo, ni KICHAA pekee ndiyo anaweza KUAMINI kwamba MOCHWARI ya Hospitali ya Wilaya ya Ilala, AMANA ilikuwa “IMEJAA” wakati HAKUNA MAUAJI YA HALAIKI yaliyoripotiwa.

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya mambo muhimu ambayo MAHAKAMA itahitaji kuyafahamu, iwapo ⁦Boniface Jacob⁩ na ⁦MalisaGJ⁩ watafikishhwa mbele yake, ni haya;
1. Ni JAMII gani iliyopata TAHARUKI?
2. Ni TAHARUKI gani ambayo JAMII ilipata?

Moja kati ya mambo muhimu ambayo MAHAKAMA itahitaji kuyafahamu, iwapo ⁦@ExMayorUbungo⁩ na ⁦@MalisaGJ_⁩ watafikishhwa mbele yake, ni haya; 1. Ni JAMII gani iliyopata TAHARUKI? 2. Ni TAHARUKI gani ambayo JAMII ilipata?
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Hakuna SHERIA yoyote ya Tanzania inayotoa MAMLAKA kwa ⁦Police Force TZ⁩ KUZURULA na MTUHUMIWA kwa KISINGIZIO chochote, iwe ni “UPEKUZI” au vinginevyo. MTUHUMIWA akishakamatwa anatakiwa AKAE MAHABUSU au APEWE DHAMANA. Ni KOSA KISHERIA KUZURULA na MTUHUMIWA.

Hakuna SHERIA yoyote ya Tanzania inayotoa MAMLAKA kwa ⁦@tanpol⁩ KUZURULA na MTUHUMIWA kwa KISINGIZIO chochote, iwe ni “UPEKUZI” au vinginevyo. MTUHUMIWA akishakamatwa anatakiwa AKAE MAHABUSU au APEWE DHAMANA. Ni KOSA KISHERIA KUZURULA na MTUHUMIWA.
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kitendo cha ⁦Police Force TZ⁩ KUSHINDWA kutoa DHAMANA kwa ⁦Boniface Jacob⁩ na ⁦MalisaGJ⁩ ni FEDHEHA kwa UTAWALA WA SHERIA kwa sababu “MAKOSA” yanayowakabili yana DHAMANA kwa mujibu wa SHERIA. Mbona yule KIJANA wa UVCCM kule KAGERA ANAYEPOTEZA WATU HAJAKAMATWA?

Kitendo cha ⁦@tanpol⁩ KUSHINDWA kutoa DHAMANA kwa ⁦@ExMayorUbungo⁩ na ⁦@MalisaGJ_⁩ ni FEDHEHA kwa UTAWALA WA SHERIA kwa sababu “MAKOSA” yanayowakabili yana DHAMANA kwa mujibu wa SHERIA. Mbona yule KIJANA wa UVCCM kule KAGERA ANAYEPOTEZA WATU HAJAKAMATWA?
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana RAIS wetu akawa ndiye TAJIRI ZAIDI kuliko MARAIS WOTE DUNIANI. Anatoa FEDHA kwenye MIRADI MINGI. Tunao wajibu wa KUITUNZA MIRADI hiyo ili KUMUENZI🙏🏻🙏🏻

Ndani ya MIAKA 60 ya MUUNGANO, “AMANI” na “USALAMA” wa BEN SAANANE na AZORY GWANDA, HAUPO. Familia zao bado zinaendelea KUADHIMISHA MISIBA ambayo haina UKOMO ⁦Samia Suluhu

Ndani ya MIAKA 60 ya MUUNGANO, “AMANI” na “USALAMA” wa BEN SAANANE na AZORY GWANDA, HAUPO. Familia zao bado zinaendelea KUADHIMISHA MISIBA ambayo haina UKOMO ⁦@SuluhuSamia⁩
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

“Hata MBUYU ulianza kama MCHICHA”. Damu za watu zinazoendelea KUMWAGIKA kinyume cha SHERIA ni LAANA na MKOSI kwa taifa letu.

For how LONG shall they continue to KILL our BROTHERS and SISTERS while we STAND ASIDE and LOOK? Let us STAND UP and FIGHT for our LIVES. Together, we shall WIN.

Mimi ninachoweza KUSEMA, ni kwamba haya YANAYOENDELEA kwa sasa, ni UTEKELEZAJI WA ILANI. Tumethubutu, Tumeweza na sasa Tunasonga Mbele. Hata MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA. Kazi iendelee.

Natamani sana IGP CAMILLIUS WAMBURA apewe NISHANI ya “KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU”, lakini MFUMO MBOVU uliopo ndiyo UNAMKWAMISHA. Hata hivyo, leo tarehe 24 April 2024 amepewa NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MUUNGANO DARAJA LA NNE. Siyo HABA. Hongera sana MPENDA HAKI.

Kwa sasa KIPAUMBELE changu ni kuhakikisha ROHO za watu wasio na hatia HAZIPOTEI KIHOLELAHOLELA. Ujuzi wangu wa SHERIA utakuwa HAUNA MAANA kama watu WATAENDELEA KUULIWA KINYUME CHA SHERIA. Kwa UMOJA wetu TULIKOMESHE PEPO LA MAUAJI.

Naomba NILIPONGEZE ⁦Police Force TZ⁩ kwa KUJA HADHARANI na “KUTOA TAARIFA YA KUJICHANGANYA” kuhusu KIFO cha UTATA cha kijana ROBERT MLANGA MUSHI. Ingawa “TAARIFA” hiyo imetolewa kwa KUCHELEWA, lakini imethibitisha UMUHIMU wa ⁦Boniface Jacob⁩ .

Naomba NILIPONGEZE ⁦@tanpol⁩ kwa KUJA HADHARANI na “KUTOA TAARIFA YA KUJICHANGANYA” kuhusu KIFO cha UTATA cha kijana ROBERT MLANGA MUSHI. Ingawa “TAARIFA” hiyo imetolewa kwa KUCHELEWA, lakini imethibitisha UMUHIMU wa ⁦@ExMayorUbungo⁩ .
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Utekelezaji wa MAUAJI ya Raia WASIO na HATIA unafanyika VIZURI SANA kwa sasa, tena kwa 100%. Kitu KIBAYA ZAIDI ni kwamba, HAKUNA hatua MADHUBUTI za KUDHIBITI MAUAJI hayo. Wenye dhamana za UONGOZI nao WANALALAMIKA tu.

Mvinyo (WINE) wa IFONEO unatengenezwa kwenye KIJIJI CHA NYUKI-Singida. Faida KUBWA ya Mvinyo huu, ni kwamba unasaidia sana KUONDOA matatizo mbalimbali ya KIAFYA, ikiwemo tatizo la MIGUU.