HabariLeo(@HabariLeo) 's Twitter Profileg
HabariLeo

@HabariLeo

Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania
Tanzania Standard Newspapers (TSN)

ID:349041397

linkhttp://www.tsn.go.tz calendar_today05-08-2011 12:55:37

57,5K Tweets

166,4K Followers

773 Following

Follow People
HabariLeo(@HabariLeo) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ameiomba Serikali kuhakikisha inajenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza ilikuzuia madhara yatakayotokea kwa wanafunzi wanaosoma katika shule hiyo.
-
Una maoni, tuandikie

account_circle
HabariLeo(@HabariLeo) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchi za Nje kwa njia ya Mtandao (Video Call) walipokuwa kwenye Mkutano unaojadili kuhusu Mkakati wa Diplomasia ya Umma na Tathmini ya kiutendaji uliofanyika mkoani Pwani Aprili 22, 2024.

DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour kuzisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi .

DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewataka waombolezaji kuishi kwa mfano na kuwa baraka kwa wengine kama ambavyo marehemu Gardner G Habash amekuwa akiishi.