Emmanuel Mwankina
@emmanuelmwanki1
Husband || Father ||
Current party secretary -Chadema Kawe Constituency|| IT - specialist || Musician || Christ's Disciple || Human rights defender/Activist.
ID: 1188533664751280128
27-10-2019 19:11:46
8,8K Tweet
576 Followers
614 Following
"Kufungua kesi ni rahisi, kuthibitisha kesi si jambo rahisi." Mhe. Boniface Jacob
Basi hapa ndo kuna watu roho zinawaumaaaa 😁 Yaani ni kwamba Tundu Lissu hakwepeki🔥 Sasa ndo mtajua hamjui! Mlimsingizia uhaini ila mjumbe maalum wa Jumuiya ya Madola kamtembelea jela na kumsikiliza! Mwachieni Lissu msimpotezee muda Eniwei mmeshaambiwa na Umoja wa Mataifa mlipe
Kama mawakili Paul Kisabo na Adv. Dickson Matata wanatumiwa na TISS basi ni faida kwa wengi wetu. Nikiwa Polisi Central, Matata na Matauka walifika haraka nikiwa naandikisha maelezo, na walinisaidia bure wkt wote wa kesi. Kisabo pia alinitumia ujumbe akitaka kunisaidia kisheria.