
Em
@eliaskasanzu
ID: 2178202311
12-11-2013 13:32:32
27,27K Tweet
360 Followers
1,1K Following

"On Love, One Heart" Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwa Mahakama Kuu leo tarehe 11 Julai 2025.







๐จ MAJOR BREAKING! Louis Van Gaal has confirmed that he is now FREE from cancer. ๐ณ๐ฑ โน๏ธ Dutch Football ๐ณ๐ฑ







We are highly concerned and demamd the release of Brenda Rupia Jonas #Tanzania #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia #FreeBrendaRupia Free Her NOW Police Force TZ Samia Suluhu



#Updates Wanachama wetu wamefika kwa OCCID wa Namanga ili kujua hatma ya Brenda Rupia Jonas lakini OCCID kawaambia kwamba Brenda ameshasafirishwa yupo Central Arusha. Viongozi wa Chama wa Arusha wamefika Central wameambiwa Brenda hayupo lakini kuna Polisi msamaria mwema katutaarifu


TAARIFA: Mtaalam wa Raslimali na Uwekezaji wa Chadema, Leonard Magere amekamatwa muda huu na Uhamiaji Tanzania kwenye Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere. Magere alikuwa anakwenda London Uingereza kuhudhuria Mafunzo ya Uwekezaji. Ikumbukwe Brenda Rupia Jonas pia amezuiwa leo kutoka nje ya ๐น๐ฟ

Free Brenda Rupia Jonas kuna sababu gani ya kisheria kumkamata mtu usiku kwa tuhuma za uchochezi kama Jeshi la Polis walivyosema?



NOTICE: Chadema's Investment and Capital Expert, Leonard Magere, has been arrested by Uhamiaji Tanzania at JK Nyerere Airport. Magere was traveling to London, UK, to attend investment training. It should be noted that Brenda Rupia Jonas was also barred from leaving ๐น๐ฟ today.