Uncle Eezy ๐ŸŒ„ (@eezysunset) 's Twitter Profile
Uncle Eezy ๐ŸŒ„

@eezysunset

'For my own sanity I let shit be what it is๐Ÿฅธ' Be you that's enough #Tourguide #Photographer๐Ÿ“ธ #Sunset๐ŸŒ„

ID: 1585982779682164737

calendar_today28-10-2022 13:12:46

16,16K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Aika Moshi....! "Kulasaamise mfongo ando ulasaama" Mangi Boniyai Kuna wakati mapenzi ya Watanzania kwa CHADEMA yanaweza kukufanya uone kazi ya siasa hasa ya Upinzani ni rahisi sana. Ila njoo kichwa kichwa na chama chako cha mchongo wakutoe nishai.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Huyu bwana nchini Uganda anawajengea watoto wa kiume uwezo wa kujitambua, kujiamini na kujua wajibu wao kwa jamii na taifa lao. Mfano mzuri wa namna tunavyoweza kuchukua hatua kujenga kizazi kijacho badala ya kulalamika.

Eric (@amerix) 's Twitter Profile Photo

Men, Everywhere on earth, โ€” Everyone wants to be a MAN. Boys want to be MEN. Women want to be MEN. Mothers can't sleep if they don't have sons. A MAN is everything on earth. Reject anyone who demonizes MEN. #MasculinitySaturday

Eric (@amerix) 's Twitter Profile Photo

Men, When you meet a group of boys playing, โ€” Spare time and play with them. Even if it is 10 minutes. As you play, tell them, "You are good, boys." "You will be great players." A lot of boys come from single-mother homes or families where fathers are severely emasculated.

Eric (@amerix) 's Twitter Profile Photo

Men, โœŒ๏ธ It is a wrap. Remember: You are a MAN. A man has himself, and that is important. You have massive potential. Unlock it. Chin up towards God. #MasculinitySaturday

Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Sio maneno yangu!! La hasha! Ni maneno ya Bishop Gwajima na Mbunge wa Kawe, Leo kanisani, akiendelea kuelezea suala la wananchi kutekwa.. Msikilize... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Sio maneno yangu!!

La hasha!

Ni maneno ya Bishop Gwajima na Mbunge wa Kawe,

Leo kanisani, akiendelea kuelezea suala la wananchi kutekwa..

Msikilize...

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Suala la utekaji lipo...Na kwamba viongozi hawachukui hatua stahiki kujomesha utekaji lipo dhahiri...kwamba watekaji wanalindwa zaidi kuliko wananchi hilo halina ubishi kwani mpaka sasa mamia ya watanganyika yanazidi kupotea na,kutekwa lakini hakuna tone la mtekaji

Suala la utekaji lipo...Na kwamba viongozi hawachukui hatua stahiki kujomesha utekaji lipo dhahiri...kwamba watekaji wanalindwa zaidi kuliko wananchi hilo halina ubishi kwani mpaka sasa mamia ya watanganyika yanazidi kupotea na,kutekwa  lakini hakuna tone la mtekaji
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Yanga kuvuna $1.2M baada ya Mayele kutwaa kombe na Pyramids! Kutokana na kipengele maalum kwenye mkataba wa uhamisho, Pyramids ya Misri italazimika kuilipa Yanga kiasi cha dola milioni 1.2 baada ya nyota huyo wa zamani wa Jangwani kuisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa.

Yanga kuvuna $1.2M baada ya Mayele kutwaa kombe na Pyramids!

Kutokana na kipengele maalum kwenye mkataba wa uhamisho, Pyramids ya Misri italazimika kuilipa Yanga kiasi cha dola milioni 1.2  baada ya nyota huyo wa zamani wa Jangwani kuisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Thank you Mo Ibrahim Foundation for speaking Truth to Power Samia Suluhu treats even us activists and journalists in inhumane way Tell Ellen Johnson Sirleaf to walk back her praise of her โ€œsisterโ€ , Samia has brought nothing but SHAME to women leadership Mzee Mo Ibrahim naye kachana mkeka!