Hoja (@edwin87689923) 's Twitter Profile
Hoja

@edwin87689923

The last generation

ID: 1151777330668417025

calendar_today18-07-2019 08:54:49

591 Tweet

98 Takipçi

1,1K Takip Edilen

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#TANZIA Zindzi Mandela, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela na Winnie Madikizela Mandela, amefariki dunia jijini Johannesburg akiwa na umri wa miaka 59. Zindzi alikuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark.

#TANZIA Zindzi Mandela, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela na Winnie Madikizela Mandela, amefariki dunia  jijini Johannesburg akiwa na umri wa miaka 59. Zindzi alikuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark.
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi #Mwinyi4Zanzibar2020 ✔️

Mgombea wa Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi 

#Mwinyi4Zanzibar2020 ✔️
Samwel Ngulinzira (@s_ngulinzira) 's Twitter Profile Photo

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Maria Sarungi Tsehai Police Force TZ Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika. Retweet ifike mbali.

Simba Madevu (@lliosimba) 's Twitter Profile Photo

Watia nia wamekuwa wengi ndani ya ccm kwasababu ujanjaujanja na ufisadi vimepungua. Ulanguzi wa ubunge hakuna.Vijana na wazee wenye heshima na wasomi, waandishi wa habari kwa madaktari wanaona fahari kuvaa rangi ya kijani na kuchukua fomu. Ni matunda mema ya uongozi imara wa JPM

Simba Madevu (@lliosimba) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kutwit kwamba CCM ya miaka ya 2007-2015 ndiyo Chadema ya sasa, na Chadema ya 2010-2015 ndiyo ccm ya sasa. CCM inajipambanua kwa rushwa na ndiyo maana tutashuhudia sura mpya za wabunge, wataalamu na waadilifu, ila hadi sasa CDM ni wale wale wa mwamba, Lema, Mdee, na Jacob

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Unapenda kuwaona wagombea Urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 wakifanya mdahalo wa pamoja kujadili masuala na sera za kiuchumi, mahusiano ya kimataifa, ajira, miundombinu, usalama wa raia, uhuru wa Habari, kilimo,maji, afya?? RETWEET hii iwafikie wahusika watuletee wagombea mezani

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

1. Lazima uwe follower wangu 2. Lazima uRetweet hii thread 2. Comment baada ya hii thread hashtag #NiinueNaLaki Lucky winner: Mshindi atakua ni mtu ambae atacomment neno #NiinueNaLaki then hiyo comment yake haitakiwi kuingiliwa na comment nyingine yoyote ndani ya dakika 30

Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Dkt Shika amefariki Dunia katika Hospitali ya Nyanguge Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Kuna kipindi alikuwa anatafuta pesa za matibabu lakini asipate ikiwa kuna watu walimtumia katika shughuli zao. RIP DKT SHIKA

Dkt Shika amefariki Dunia katika Hospitali ya Nyanguge Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Kuna kipindi alikuwa anatafuta pesa za matibabu lakini asipate ikiwa kuna watu walimtumia katika shughuli zao.

RIP DKT SHIKA