Edward Lowassa
@edward_lowassa
Former Prime Minister of United Republic of Tanzania and a Current Member of Parliament for Monduli Constituency
ID: 3098883269
http://www.elowassa.com 20-03-2015 10:16:05
967 Tweet
3,3K Followers
270 Following
Mkutano wa marais wa mataifa wanachama wa jumuia ya EAC, umefutiliwa mbali baada ya mapinduzi ya serikali ya #Burundi Radio Citizen
Mara tumezidi kuonesha njia,Vijana walipangwa kumshangilia EL msibani mwishowe amekosa hata nafasi ya kusalimia.Mtoi Mohamedi Mtoi Aron Makukura
Edward Lowassa usistaajabu mheshimiwa,hakika watanzania tulio wengi tunakupenda na kutaka uwe Rais wetu,hakika ndoto zetu utazitimiza.
Mh Edward Lowassa hatoongea Leo @pbcloudsfm bali atakuepo kesho, pia atakua live clouds tv @lowassateam Hussein N Hussein team lowassa
@faridhassan1 Edward Lowassa usidanganye,watusemawewekamawewe,makehatujaonalakujivuniakwakewaliowengi
Edward Lowassa, Mwigulu Nchemba, PhD na @willibrordslaa ripoti ya TEDRO inaonesha kuwa viongozi wanaoaminiwa kumaliza tatizo. #UtafitiWaTEDRO
Edward Lowassa, Mwigulu Nchemba, PhD na @willibrordslaa ripoti ya TEDRO inaonesha kuwa viongozi wanaoaminiwa kumaliza tatizo. #UtafitiWaTEDRO
Utafiti mpya wa TEDRO Mh Edward Lowassa anaongoza kwa 26%
Katibu wa Itikadi ccm Nape Nnauye akiwa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kwenye mazishi ya John Nyerere Butiama