1. Ufisadi na Rushwa
2. Utekaji na mauwaji
3. Usimamizi wa Sheria na hasa Katiba
4. Kuimalishwa kwa utoawaji wa haki
5. Kupatikana kwa Katiba mpya
6. Sheria za uchaguzi
Haya ni baadhi ya mambo ninayotamani kuyasikia kutoka kwa wagombea ambaye nikimtazama usoni nasema YES
Mliokaribu na Idd Amini Mama mfikishieni huu ujumbe kutoka kwa Mama ake Humphrey Polepole.
Haya maumivu ambayo anawapa Mama zetu ipo siku yatarudi kwenye familia yake ni swala la muda tu.💔😭
#Tanzania: authorities must immediately disclose the fate and whereabouts of a former Tanzanian ambassador to Cuba, Humphrey Polepole They must also ensure his safety and bring those responsible accountable.
amnesty.org/en/latest/news…
"Nilitegemea hata mgombea wa Chama Cha Mapinduzi angetoka hadharani na kualaani vitendo hivyo …kwa sababu vyombo vya dola vipo chini yake mgombea wa CCM anapaswa kujua kwamba kabla hajapatikana rais mwengine jukumu la uhai Watanzania bado lipo chini,''-Gombo Samandito Gombo.
Tumsifu Yesu Kristo.
Ninawakaribisha ninyi nyote katika Mafungo ya kuhitimisha mwaka huu na kuanza mwaka ujao. Kwa neema ya Mungu tutaanza mafungo haya ya siku 40 tarehe 3 November na tutahitimisha tarehe 12 Disemba 2025.
MUNGU AKUPE NEEMA YA KUJIANDAA VYEMA
KABLA YA MAZUNGUMZO LAZIMA WALIOPANGA,KUFADHILI NA KUENDESHA MAUAJI YA RAIA WA TANGANYIKA NA KUHUSIKA NA MPANGILIO WA UTEKAJI NA UPOTEZAJI WA RAIA KABLA,WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI WAKAMATWE NA KUFIKISHWA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KWA UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU.
WATU WOTE
CNN DOCUMENTARY IS OUT NOW, DAKIKA 5 ZA MOTO.
Uchunguzi wa kina wa CNN umefichua picha za kutisha za ukatili wa polisi nchini Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Ripoti iliyotolewa jana jioni inaonyesha video zilizothibitishwa kimahali zinazowakamata maafisa wa
Ndugu zetu wamezikwa Hapa.
Ripoti ya CNN inatuonyesha hili eneo la MAKABURI YA KONDO, BAHARI BEACH kuna MAKABURI YA HALAIKI (Watu wengi wamezikwa kwenye shimo moja).
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Iran mwanaume mmoja anashambulia mashoga wa Israel, marekani, Saudi Arabia, Jordan, Kuwait, Bahrain, Iraq, wote ana wanacheze mbupu la mtu mmoja...
Iran 🇮🇷...