Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile
Farid Atrash🇹🇿

@faridatrash05

ID: 3071822070

calendar_today10-03-2015 19:47:52

713 Tweet

474 Followers

2,2K Following

Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema anakerwa na watu wanaomtumia ujumbe kwa simu (sms) wakimwambia watamsaidia kuleta maendeleo Iringa, amesema Rais amemkabidhi kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya ambao ndiyo wa wasaidizi wake watakaompa taarifa. #KwanzaHabari Sijaelewa 😂😂

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema anakerwa na watu wanaomtumia ujumbe kwa simu (sms) wakimwambia watamsaidia kuleta maendeleo Iringa, amesema Rais amemkabidhi kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya ambao ndiyo wa wasaidizi wake watakaompa taarifa. #KwanzaHabari 
Sijaelewa 😂😂
Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Mtu aliezoea kula ruzuku ya chama peke yake kwa ubabe ujue huyo amezoea vya kunyonga. Shirika la Umeme Tanesco limebaini kuwa kwa muda mrefu Mbowe amekuwa akitumia umeme wa wizi katika Hoteli yake.hawa ndio mnaotaka wawe viongozi wa nchi hii mijizi na mafisadi. Source Mwananchi.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna chama kinachomalizika nchini kwa mwaka 2020 kutokuwepo tena basi ni chadema,wananchi wenye akili na wanaojitambua wamekishtukizia kuwa ni wababaishaji,kama chama kinapokea milioni 400 kama ruzuku kisha zinaishia kwa mwenyekiti na ukihoji unafukuzwa ni hatari sana.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Itachukua miaka mingi sana akiondoka Mh Magufuli kumpata Rais kama huyu,tupo tayari uongoze baba mpaka 2035. Hatutaki kuonhozwa na wapigania ushoga. Nitakupigia tena 2020 Mh Rais

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

NIDA makao makuu ya wilaya ya ilala iliopo Gongolamboto wafanyakazi wake wamezidi kuomba rushwa kwa wanaokwenda kuomba namba zao za vitambulisho wanadaiwa elfu 20 Kama ujira wa kazi ya kumpatia namba ya kitambulisho

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio maana ya mwnachama kuiva kiitikadi ktk chma cha siasa,anaamini ktk mageuzi na maboresho akiwa sehemu yahayo mageuzi. HongeraNape

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Wanaomshangiria JK leo ndio walewale waliomponda jana kwa maneno makali na kumwambia ameshindwa kuwapa maisha mazuri. Watanzania ni waajabu.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Napenda kutoa pole kwa mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,maafisa,maaskari na wanafamilia wote kwa tukio la kuuawa kwa askari wetu wakiwa kazini

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Inanishangaza na kunipa mashaka makubwa kuona mtanzania anafurahia vifo vya askari wetu ambao wanamfanya yeye aishi kwa amani na utulivu.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Nimelia sana kuona majeneza ya watoto wetu wapendwa yakiingizwa uwanjani kwajili ya kuagwa.Mwenyezi Mungu awalaze pema peponi Aamin.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Kitendo wanachofanyiwa watu weusi kule Libya ni kitendo kinachotakiwa kipingwe kwa nguvu zote,inauma sana binaadamu kufanyiwa vitendo vibaya na kuumiza mwili.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana ndugu zetu Zanzibar heroes kwa hatua mliyoifikia,ukweli mnapiga sana mpira,mmeonesha mpira mzuri wa hali ya juu kabisa.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Zanzibar heroes kwa kuonesha ujuzi wenu wa hali ya Juu,dakika 120 zote mlizocheza mlionekana mko vizuri,mmejitahidi sana kwa kweli,umoja wenu na mshikamano wenu muudumishe kwa maslahi mapana ya nchi yenu.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Nilijiuliza sana kwanini baadhi ya viongozi wa upinzani inapotokea mbunge au Diwani amejitoa kwenye nafasi yake na kuingia CCM wanasema amenunuliwa?nikabaini kumbe ile dhambi ilianza kwa kununuliwa CHAMA CHENYEWE na tajiri mwenye uchu na uRais,ndio maana dhambi itaendelea daima.

Farid Atrash🇹🇿 (@faridatrash05) 's Twitter Profile Photo

Vijana tusikubali kupelekeshwa na wachache wanaokesha mitandaoni kututaka tuandamane wkt wao hubaki nyumbani na familia zao,huko ni sawa na kumtomeza mbwa koko kumuua simba,likiwakuta hutopata msaada kwa yeyote zaidi ya pole za mitandaoni au R.I.P nyingi.#ChangeTanzania #Tanzania