EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID: 169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

177,177K Tweet

1,8M Followers

7 Following

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake

#MICHEZO: Kiungo mshambuliaji wat imu ya AS Roma natimu ya Taifa ya Argentina Paulo Dybala akizungumza kuhusu kuvaa jezi namba 10 ya Lionel Messi katika mchezo dhidi ya Chile amefunguka na kusema; "Najua hii sio jezi yangu; sote tunajua ni ya Leo Nilijaribu kuiwakilisha kwa njia

#MICHEZO: Kiungo mshambuliaji wat imu ya AS Roma natimu ya Taifa ya Argentina Paulo Dybala akizungumza kuhusu kuvaa jezi namba 10 ya Lionel Messi katika mchezo dhidi ya Chile amefunguka na kusema;

"Najua hii sio jezi yangu; sote tunajua ni ya Leo Nilijaribu kuiwakilisha kwa njia
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#PICHA Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024. IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#PICHA Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.

IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya vijana jijini Dar es salaam wamesema wanashindwa kufuata utaratibu wa kula kwa wakati ama kuruka milo kwa siku kutokana na hali ya uchumi na kubana matumizi. Aidha wamesema hali hiyo imekuwa ikipelekea vijana wengi kukumbwa na tatizo la vidonda vya tumbo kwa sasa. Haya

Baadhi ya vijana jijini Dar es salaam wamesema wanashindwa kufuata utaratibu wa kula kwa wakati ama kuruka milo kwa siku kutokana na hali ya uchumi na kubana matumizi.

Aidha wamesema hali hiyo imekuwa ikipelekea vijana wengi kukumbwa na tatizo la vidonda vya tumbo kwa sasa.
Haya
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya AN inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini. Mganga Mkuu wa wilaya ya

#HABARI Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya  AN  inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.

Mganga Mkuu wa wilaya ya
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction

#HABARI Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktari wa Hospitalini wanavyothaminiwa kwani dawa zote za hospitali

#MICHEZO: Katika kutimiza dhamira ya Serikali kuinua michezo nchini Tanzania, Mdau na shabiki wa soka nchini "Salim Kikeke" amekabidhi shilingi Milion 2 kwa wachezaji wa Simba Queens ikiwa ni sehemu ya kuongeza hamasa baada ya timu hiyo kurejea kutoka kwenye mashindano ya

BAR UNAENDA KWAAJILI YA... #5SELEKT Tuambie kwenye uwanja wa comment badae tutapita na comment yako ndani #5SELEKT saa 11:00 jioni hadi 12:00 jioni kupitia Tin'ga nambari moja kwa vijana #EastAfricaTV #5SELEKT MO (EATV PRESENTER) Fevushka_ @blessing_teba @Felister_Loshy

BAR UNAENDA KWAAJILI YA...

#5SELEKT Tuambie kwenye uwanja wa comment badae tutapita na comment yako ndani #5SELEKT saa 11:00 jioni hadi 12:00 jioni kupitia Tin'ga nambari moja kwa vijana #EastAfricaTV

#5SELEKT MO (EATV PRESENTER) Fevushka_ @blessing_teba @Felister_Loshy
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO: Mazoezi ya wachezaji wa Yanga kipindi hiki ligi ikiwa imesimama kupisha michezo ya Kimataifa. #Michezo #HainaKuchoka #EastAfricaTV

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

WALIOKUWA WANASEMA CHAMA MZEE SAIVI WANAMSIFIA NA KUMPIGIA MAGOTI | SIMBA BADO HAIJAJIPATA🔴🔴👇⚽🙌👇 :>youtu.be/pZoO6c8rCtE

WALIOKUWA WANASEMA CHAMA MZEE SAIVI WANAMSIFIA NA KUMPIGIA MAGOTI | SIMBA BADO HAIJAJIPATA🔴🔴👇⚽🙌👇
:>youtu.be/pZoO6c8rCtE
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Mama mmoja mkazi wa Kibaha Msangani anaiomba serikali iweze kumsaidia kupata haki ya mtoto wake wa kiume anayesoma darasa la tano baada ya kulawitiwa na rafiki wa baba yake ambaye kwa sasa ameachiwa huru baada ya kutekeleza tukio hilo. Mama wa mtoto huyo anasema kuwa

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa umwagiliaji skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali unanufaisha wakulima katika msimu

#HABARI Watu wasiojulikana wanadaiwa kuwalawiti na kuwachoma na kitu kinachodhaniwa kina ncha kali mama na mtoto wake katika mtaa wa Muungano Kata ya Mkonze Jijini Dodoma. Wakizungumza na vyombo vya habari eneo la tukio mashuhuda ambao ni majirani wa eneo hilo wamesema mama huyo

#HABARI Watu wasiojulikana wanadaiwa kuwalawiti na kuwachoma na kitu kinachodhaniwa kina ncha kali mama na mtoto wake katika mtaa wa Muungano Kata ya Mkonze Jijini Dodoma.

Wakizungumza na vyombo vya habari eneo la tukio mashuhuda ambao ni majirani wa eneo hilo wamesema mama huyo
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Msanii َ.baba Ameweka Wazi Kumsamehe harmonize_tz Baada Ya Mama Yake Mzazi Kumuomba Amsamehe Staa Huyo Wa Muziki. "Leo Mama H kanitamkia Nimsamehe Harmonize Mashabiki, Wasanii, Viongozi Mbalimbali, Wazazi Wake Nimewaskia Nimemsamehe. Kauli ya Mama Angu Mzazi Leo Imenifungua

Msanii َ.baba Ameweka Wazi Kumsamehe harmonize_tz Baada Ya Mama Yake Mzazi Kumuomba Amsamehe Staa Huyo Wa Muziki.

"Leo Mama H kanitamkia Nimsamehe Harmonize Mashabiki, Wasanii, Viongozi Mbalimbali, Wazazi Wake Nimewaskia Nimemsamehe. Kauli ya Mama Angu Mzazi Leo Imenifungua
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Msanii #TEMS Akiwa Rasmi Ameanza Tour Ya Albamu Yake #BornInWild Na Hii Ikiwa Ni Moja Ya Event Zake Za Mwanzo Kabisa Nchini Marekani. Story Kubwa Mtandaoni Kwasasa Ni Msanii Huyu Kuwapa Mashabiki Zake Sapraizi Ya Mwanamuziki Mkongwe Na Pendwa Nchini Humo #JOHNLEGEND Jambo Ambalo

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

@suzibale_og Anaeleza Kuwa Yeye Anachompendea Mpenzi Wake @brothermenwadunia1 Ni Mapenzi Yake Kwake,Heshima,Upendo Pamoja Na Kujali Kwake. #5SELEKT MO (EATV PRESENTER) Fevushka_ @blessing_teba @Felister_Loshy