EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID: 169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

177,177K Tweet

1,8M Takipçi

7 Takip Edilen

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya AN inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini. Mganga Mkuu wa wilaya ya

#HABARI Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya  AN  inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.

Mganga Mkuu wa wilaya ya