EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profileg
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID:169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

172,0K Tweets

1,7M Followers

7 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imepanga kununua mitambo mingine 10 ya uchorongaji kwa ajili ya kusaidia wachimbaji wadogo nchini.

Hayo yamesemwa leo Mei 17, 2024 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde aliposhiriki zoezi la kuwakabidhi leseni Chama

#BIASHARA Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imepanga kununua mitambo mingine 10 ya uchorongaji kwa ajili ya kusaidia wachimbaji wadogo nchini. Hayo yamesemwa leo Mei 17, 2024 na Waziri wa Madini, @AnthonyMavunde aliposhiriki zoezi la kuwakabidhi leseni Chama
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kwao lilikuwa swali gumu sana, ila kwa msaada wa teknolojia halikuwa swali tena, walipewa simu waka-Google wenyewe, na baada ya hapo halikuwa swali tena! Kings Secondary mmetisha sana.

cc @kevookevo0 @clementthehero

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Shadia wa Kings Secondary sasa anakimbia nini sasa jamani. Au ndio alivyokikimbia Kimbunga Hidaya kwa style hiyo?

cc @kevookevo0 @clementthehero

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kutoka Kings Secondary iliyopo Goba jijini Dar es Salaam, huyu hapa ni Kashmiri, ameulizwa Alexander Bell ni maarufu duniani, je anajulikana kwa kitu gani?

Ebu tumsaidie kujibu hapa kwenye comments kwa maneno matatu.

cc @kevookevo0 @clementthehero

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Ahmad Mnamalla Mkazi wa mtaa Machimbo kata ya Yombo jijini Dar es Salaam, amesema maafisa wa ardhi wa manispaa ya Temeke hawata iona pepo kwani wamekuwa wakifanya maamuzi ya kuwaumiza wananchi.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

WANAFUNZI SAUT KILA WAKIPATA 'BOOM' WANAVAMIWA

Baada ya uwepo wa matukio ya baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuvamiwa na kujeruhiwa na wahalifu hasa wakati wanopopata pesa za kujikimu, ikiwemo wanafunzi wawili wa chuo cha SAUT Mwanza ambao mmoja amekatwa kidole mwingine

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Hakikisha unapotaka kuandika barua ya kuomba kazi unaandika kifupi siyo lazima uanze kujielezea sijui mimi ni fulani kijana wa kiume sijui nimezaliwa mwaka fulani naishi sehemu fulani, nina akili timamu, mara ooh ni kijana mpole, nilizaliwa sijui wapi, unazunguka

#DriveShow: “Hakikisha unapotaka kuandika barua ya kuomba kazi unaandika kifupi siyo lazima uanze kujielezea sijui mimi ni fulani kijana wa kiume sijui nimezaliwa mwaka fulani naishi sehemu fulani, nina akili timamu, mara ooh ni kijana mpole, nilizaliwa sijui wapi, unazunguka
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Side mirror ni muhimu sana na msizitoe bila sababu, nikikukuta barabarani huna side mirror lazima nikutoze faini, kuanzia kwenye pikipiki au hata gari ni muhimu sana lazima nikugonge faini ukiwa umezitoa” – Afande Mwita ndani ya Drive Show ya East Africa Radio.

#DriveShow: “Side mirror ni muhimu sana na msizitoe bila sababu, nikikukuta barabarani huna side mirror lazima nikutoze faini, kuanzia kwenye pikipiki au hata gari ni muhimu sana lazima nikugonge faini ukiwa umezitoa” – Afande Mwita ndani ya Drive Show ya East Africa Radio.
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

DAWA ZA KULEVYA ZACHANGIA UKATILI

Imeelewa kuwa ongezeko la matumizi ya dawa za kulewa mkoani manyara, limetajwa kuchangia kukithiri kwa vitendo vya kikatili hali inayokiuka haki za binadamu.


account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

WAUGUZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Licha ya changamoto mbalimbali zinazokabili wauguzi katika kada yao, wametakiwa kuendelea kufanya kazi yao kwa weledi, uadilifu na unyenyekevu mkubwa katika kuwahudumia wagonjwa.


account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Msimu wa 2022 - 23 Yamga SC ilichukua ubingwa wa ligi kuu kwa alama ngapi?
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV

#QUIZ: Msimu wa 2022 - 23 Yamga SC ilichukua ubingwa wa ligi kuu kwa alama ngapi? . . . Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

BODABODA WALIA NA WIZI WA PIKIPIKI MWANZA

Baadhi ya waendesha pikipiki wilayani Nyamagana jijini Mwanza wamelelamikia uwepo wa kero ya wizi wa pikipiki unaofanywa na miongoni mwao na wengine wasiowafahamu huku wakitaka hatua zichukuliwe kudhibiti kero hiyo.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewaagiza wadau wa afya wa mkoani humo kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato katika vituo vya kutolea huduma za afya, ili kulipa madeni yaliyopo MSD na kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni.

Mkuu huyo wa mkoa wa

#HABARI Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewaagiza wadau wa afya wa mkoani humo kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato katika vituo vya kutolea huduma za afya, ili kulipa madeni yaliyopo MSD na kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni. Mkuu huyo wa mkoa wa
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, PhD amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika

#BIASHARA Waziri wa Fedha, @mwigulunchemba1 amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Ngwair bado anaishi kwenye maisha yangu, aliniamini sana na amenikutanisha na watu wengi kwenye sanaa, naimba lakini yeye alikuwa ana-rap ila alinipa heshima kubwa sana, kuwa karibu naye na wana Hip Hop kama Jay Moe, Fid Q, toka kipindi hicho ilikuwa heshima kubwa

#BURUDANI: “Ngwair bado anaishi kwenye maisha yangu, aliniamini sana na amenikutanisha na watu wengi kwenye sanaa, naimba lakini yeye alikuwa ana-rap ila alinipa heshima kubwa sana, kuwa karibu naye na wana Hip Hop kama Jay Moe, Fid Q, toka kipindi hicho ilikuwa heshima kubwa
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “One Only ilinihusu somehow kwasababu nakumbuka nilikimbiwa na girlfriend, ilikuwa kama utani akaniambia ndio basi tena, licha ya ngoma kuja kuwa hit sikumuona tena' Young Boy Mirror @mirror26 akielezea wazo la wimbo wake wa One Only lilivyopatikana.

cc @rich_msafii

#BURUDANI: “One Only ilinihusu somehow kwasababu nakumbuka nilikimbiwa na girlfriend, ilikuwa kama utani akaniambia ndio basi tena, licha ya ngoma kuja kuwa hit sikumuona tena' Young Boy Mirror @mirror26 akielezea wazo la wimbo wake wa One Only lilivyopatikana. cc @rich_msafii
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Katika kitu watu wanatakiwa kujua, baada ya sasa hivi nimerudi mazima na nitakuwa naachia back to back, siyo kama zamani nilivyokuwa naachia kazi now muziki umebadilika sana, nimejipanga upya nakuja kama New Mirror' YBM @mirror26

cc @rich_msafii Februaryomar

#BURUDANI: “Katika kitu watu wanatakiwa kujua, baada ya #Poo sasa hivi nimerudi mazima na nitakuwa naachia back to back, siyo kama zamani nilivyokuwa naachia kazi now muziki umebadilika sana, nimejipanga upya nakuja kama New Mirror' YBM @mirror26 cc @rich_msafii @februaryomar
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Young Boy Mirror @mirror26 amefunguka wasanii anaowasikiliza katika generation hii kwenye Bongofleva na vile vile amewahi kuwaandikia nyimbo wasanii wengine kipindi cha nyuma japo hawakutaka aweke wazi.

cc @rich_msafii Februaryomar @piwamagic @djsummertz

account_circle