EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

ID: 386954529

calendar_today08-10-2011 06:27:04

183,183K Tweet

1,3M Takipçi

10 Takip Edilen

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#DriveShow: “Natoa wito kwa madereva wa pikipiki na magari walioongeza “exost” kwenye vyombo vyao waondoe mara moja kwasababu hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wengine wa barabara na kwenye makazi ya watu ” Inspecta Dinna Mossi. #DriveShow #FunguaButi

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Familia ya marehemu Kamuli Kamnoba wakazi wa Mtaa wa Kaseni Kata ya mtakuja Halmashauri ya mji Geita wamekumbwa na hofu kubwa baada ya kuamka asubuhi na kukuta watu wasiojulikana wamejenga kaburi kwenye shamba lao. Mama mjane wa familia hiyo Mariam Lyapeka pamoja na

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

NIVA: HAKUNA KIPA KAMA CAMARA, NI ZAIDI YA DIARA, TUNAMUOMBA RAIS SAMIA AMPE URAIA WA TANZANIA🇹🇿🇹🇿 🙌🙌👇⚽🔴🟢>youtu.be/p1xGVzeyfbc

NIVA: HAKUNA KIPA KAMA CAMARA, NI ZAIDI YA DIARA, TUNAMUOMBA RAIS SAMIA AMPE URAIA WA TANZANIA🇹🇿🇹🇿 🙌🙌👇⚽🔴🟢>youtu.be/p1xGVzeyfbc
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGA @wakanda_republi anasema kuwa siku hizi ubora wa Yanga umekuwa ukipimwa kwa idadi ya magoli na sio ubora wao uwanjani. #Kipenga #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGA @wakanda_republic anasema kuwa Yanga kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya CBE ilicheza vizuri sana tofauti na namna ambavyo wengi wanafikiria kuwa ilicheza vibaya. #Kipenga #EastAfricaRadio

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imefanikiwa kuondoa uvimbe wa kilogram 5, zilizokuwa mwilini mwa Karume Ally Karume aliyekuwa mkazi wa Lindi ambaye alifika Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa huo uliomtesa kwa miaka 26. Aidha kwa upande wake Dkt Laurean

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGA nsajigwa_senior anasema kuwa hivi sasa kocha Gamondi anamuamini sana Dube kama mshambuliaji namba moja halafu kisha washambuliaji wengine kama Mzize, Baleke, na Musonda ndiyo wanafuata nyuma yake. Wangapi mnakubaliana na hii? #Kipenga #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGA nsajigwa_senior anasema kuwa viungo washambuliaji watatu wa Yanga, Pacome, Maxi na Aziz Ki hivi sasa ni kama vile wame-relax sana tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita ambapo walikuwa wanajituma zaidi. Wangapi mnakubaliana na hii? #Kipenga #EastAfricaRadio

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Aliyekuwa Kaimu IGP nchini Kenya Julius Masengeli, leo amejipeleka mahakamani kufuatia uamuzi wa Mahakama kumtaka kufungwa jela miezi baada ya kukiuka wito wa Mahakama uliomtaka ajibu kufuatia ndugu watatu kutekwa na maafisa wa polisi miezi miwili iliyopita. #EATVSAA1

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Waziri wa Kilimo Hussein M Bashe amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya Kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa katika zao hilo umelenga kuteka soko la kahawa ya Tanzania kimataifa. Amesisitiza kuwa serikali

#HABARI Waziri wa Kilimo <a href="/HusseinBashe/">Hussein M Bashe</a> amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya Kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa katika zao hilo umelenga  kuteka soko la kahawa ya Tanzania kimataifa.

Amesisitiza kuwa serikali
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amefungua rasmi Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Mjini Songea, ambapo ameeleza kuwa Jamii yoyoye isiyo na utamaduni ni Jamii mfu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo linalofanyika kwa siku

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesikitishwa na Jiji la Dar es Salaam katika baadhi ya maeneo kuwa na uhaba wa maji akilitaja eneo la Kibamba jijini humo na kudai kuwa upo mtaa unaopata maji mara moja kwa mwezi. #EastAfricaTV

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Waziri wa Maji Jumaa Aweso, ameweka jiwe la msingi mradi wa uchimbaji visima 5 kwa kila jimbo katika Kijiji cha Azimio kata ya Mtina Wilaya ya Tunduru na kushuhudia zoezi la usafishaji wa kisima kimoja (Flushing) kitakachowahudumia takribani wananchi 3427 wa kijiji hicho

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka vijana nchini kushikamana na kudumisha amani iliyopo ilim kuweza kuwa na Taifa imara. Dkt. Biteko amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua

#HABARI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko amewataka  vijana nchini kushikamana na kudumisha amani iliyopo ilim kuweza kuwa na Taifa imara.

Dkt. Biteko amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akimwakilisha Rais,  Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGAXTRA Shabiki wa klabu ya Yanga @nabii_meja anasema kuwa Ubaya Ubwela ilianzia kwa Ynga ndipo baada ya hapo Simba wakaichukua. Wangapi mnakubaliana na hii? #KipengaXtra #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGAXTRA Shabiki wa klabu ya Yanga @nabii_meja anasema kuwa ukiisifia sana Yanga unapata dhambi. Wangapi mnakubaliana na hii? #KipengaXtra #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGAXTRA Shabiki wa klabu ya Simba @mchungaji_wa_simba anasema kuwa Yanga siku hizi inashuka kiwango kila siku. Wangapi mnakubaliana na hii? #KipengaXtra #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGAXTRA Shabiki wa klabu ya Simba @mchungaji_wa_simba anasema kuwa mechi ya Simba ina mvuto sana kuliko hata mechi ya Yanga. Wangapi mnakubaliana na hii? #KipengaXtra #EastAfricaRadio

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#KIPENGAXTRA Shabiki wa klabu ya Simba @mchungaji_wa_simba anasema kuwa kama Yanga wanamtaka Ahmed Ally aje kwenye press yao basi watoe bilioni 1. #KipengaXtra #EastAfricaRadio