EastAfricaTV
@eastafricatv
Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]
ID:169557169
http://www.eatv.tv 22-07-2010 16:39:48
172,6K Tweets
1,7M Followers
7 Following
Follow People
#VIDEO Katika kukabiliana na matokeo hasi yanayoletwa na mabadiliko ya Tabia Nchi, Mkurugenzi wa NemcTanzania Dkt. Immaculate Semesi ameeleza kuwa Taasisi zote za serikali na zisizokuwa za Serikali na Jamii wanapaswa kushirikiana.
#EastAfricaTV
#DADAZ : Sarah Mbasha, Mhadhiri Chuo cha Ustawi wa Jamii, idara ya Mahusiano kazini amesema siku hizi watoto wa kiume hawana uwezo wa kuzungumza kama walivyo watoto wa kike.
Je ni kweli?
#DADAZ #EastAfricaTV #kunakitukitatokea
#DADAZ : Bhoke Nia Egina amezungumzia utofauti katika malezi wanayolelewa watoto wa kiume na watoto wa kike katika suala la kujiamini na uwezo wa kuzungumza kwa watu.
#DADAZ #Namthamini #EastAfricaTV #kunakitukitatokea
#DADAZ : @sara_ngoma05 katika DADAZ amezungumzia faida za mwanamke kujiamini na kuwa na uwezo wa kuzungumza kwenye jamii.
Wewe ulianza kuwa na uwezo wa kujiamini kuzungumza ukiwa na umri gani?
#EastAfricaTV #kunakitukitatokea
#DADAZ : Sarah Mbasha, Mhadhiri Chuo cha Ustawi wa Jamii ambaye pia ni Mtaalamu wa Mahusiano kazini, ameelezea kuwa wanawake wanaozungumza mbele za watu wanaonekana kuwa wanaharakati kwenye jamii.
#DADAZ #EastAfricaTV #kunakitukitatokea
#MAMAMIA : Mohamed kutoka Mbezi Beach anasema mke wake amekuwa akimnyima tendo la ndoa Mwaka wa pili sasa, na anasema anakaa naye kwasababu ya watoto tu, na amegundua ana Mwanaume mwingine.
Mpe ushauri Mohamedi naye atasoma comment yako hapa.
#MamaMia #OngezaBando #HainaKuchoka
Tumeshuhudia wakufunzi wa mambo mengi kwenye mitandao ya kijamii, lakini vipi kwa upande wako ukiwa kama binti, mzazi au mlezi. Umeshawai kutana na Elimu ya #Hedhi kwenye #SocialMedia ?
Binti #Hedhi Salama ni haki yako #Namthamini2024 inasimama nawe kuhamasisha upatikanaji wa
#VIDEO Mtangazaji wa #EastAfricaTV kissa_daniel ni miongoni mwa wanahabari walioongozana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu kuelekea nchini Korea Kusini kwa ziara ya kikazi ya siku 7.
Kwa updates zote kuhusu na ziara hiyo usiache kufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii.
#PICHA Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari vya Makampuni ya IPP wakiwa kwenye msafara wa Rais Samia Suluhu kuelekea Korea Kusini kwenye ziara ya kikazi ya siku saba. kissa_daniel
#EastAfricaTV