Jonathan Leodgard’s Mihyo
@duke_leodgardm
Life of A Prayerful Doer| 📖Wafilipi 4:13 🙏
ID: 775185410
23-08-2012 04:50:33
4,4K Tweet
1,1K Followers
267 Following
🎶 Sawa - G Nako Feat. Lord Eyez, Nikki Mbishi SONGA ANKO MAWENGE 🔥 Kazi Nzuri sana. Haya tuamke tukapambane, Una Baraka nyingi za Rohoni na Mwilini, Usijichukulie Poa 🚀.
Baruani Mshale ni Director of Learning & Strategies Twaweza - ni sisi Tanzania lakini pia ana Ph.D kutoka Michigani University & MESC kutoka Yale University, Moja ya wanafunzi Bora wa Azania Secondary na Top Performers University of Dar es Salaam lakini sikiliza anavyo zungumza Swahili yake kwa Ufasaha🤝
Dear Zitto MwamiRuyagwa Kabwe nitafurahi tukipata kikombe cha Kahawa wakati wowote ule utakapo kuwa na Muda in Dar Es Salaam. Siasa Pembeni, Just a CUP of Coffee or Lunch, Tuna mengi nje ya Siasa ya kujifunza.