CorryDick (@dickcorry) 's Twitter Profile
CorryDick

@dickcorry

Aircraft maintenance technician/ #Arsenal fan/#simba fan/ I believe in God

ID: 1238087201411469314

calendar_today12-03-2020 12:59:37

3,3K Tweet

673 Followers

936 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Napeโ€ฆ Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua anatia huruma sana .. leo kasogea kwenye meza ya chakula ameshiba na anawatapikia Watanzania. Kitu kimoja ninamshukuru kwamba amesema ukweli kuwa, Nchi hii

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Tuanzie hapa au turudi kwenye kujiteka?au vyote vyote? hakuna mtu atazima sauti zetu, ipo siku tutaumia, tutapoteza maisha, tutaumiza familia zetu ila tutaipata haki yetu โœŒ๏ธ

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

#KUELEKEA2025: Mbunge wa Mtama na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye amesema video inayosambaa ikimuonesha akisema kuna mbinu nyingi za kushinda Uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana kama iliyotafsiriwa na Watu wengi

#KUELEKEA2025: Mbunge wa Mtama na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye amesema video inayosambaa ikimuonesha akisema kuna mbinu nyingi za kushinda Uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na hakuwa na maana kama iliyotafsiriwa na Watu wengi
kamdudu (@_kamdudu) 's Twitter Profile Photo

LEO TUJUE AINA ZA INJINI ZA NDEGE Ndege inaweza kuwa na injini 1 hadi 8 na katika hizo ni injini za aina mbili ndiyo maarufu: (1)-Injini za Jet (Zenye mfano wa pipa lililolazwa) (2)-Injini za Piston (Nyingi pangaboi) 1 INJINI ZA JET Hizi zimegawanyika kutokana na

LEO TUJUE AINA ZA INJINI ZA NDEGE

Ndege inaweza kuwa na injini 1 hadi 8 na katika hizo ni injini za aina mbili ndiyo maarufu:

(1)-Injini za Jet (Zenye mfano wa pipa lililolazwa)

(2)-Injini za Piston (Nyingi pangaboi)

1 INJINI ZA JET

Hizi zimegawanyika kutokana na
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Askari Polisi kuvaa mavazi rasmi (sare za Polisi) wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ili kuepukana taharuki katika jamii, huku akigusia baadhi ya matukio ya utekaji ambayo yametokea hivi karibuni hasa lile la

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Huyu anasema waliua watu na kutupa maporini, Huyu anasema ukweli kwamba waliiba uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Nani katika Nchi hii ana uthubutu wa kusema kuna uchaguzi wa watu wenye akili timamu kushiriki? Huyu sio mhaini? Huyu anastahili kuwa mitaani alafu Lissu yuko

#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wengi walioko kwenye nafasi za maamuzi wana 60+ wachache wana 50+ Kwa mujibu wa #lifespan, wengi hawa miaka 30 ijayo hawatakuwepo duniani hapa. Miaka 30 ni kesho kati tu hapo sio mbali!! Na kama watakuwepo hai basi watakuwa kwenye ile stage ya #Oldest_old Stage

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

SHINYANGA: Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria, Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu akizungumza na Waumini wa Kanisa hilo katika Ibada iliyofanyika Usharika wa Agape Kahama Soma jamii.app/AskofuNzelu #JamiiForums #Accountability #Governance

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria, Askofu Dkt. Yohana Nzelu, akizungumza na Waumini katika Ibada iliyofanyika Usharika wa Agape Kahama, amegusia umuhimu wa Serikali kuwaondolea Wananchi hofu ya kuzungumza, kwa kuwa hali hiyo ikiendelea itasababisha visasi Soma

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kabla sijalala. I wanna see if yโ€™all can show some love to SC Tundu Lissu. Today been a great day. Letโ€™s give the defiant TAL his flowers. Top lad!โœŒ๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

Kabla sijalala. I wanna see if yโ€™all can show some love to SC Tundu Lissu. Today been a great day. Letโ€™s give the defiant TAL his flowers. Top lad!โœŒ๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
ร˜ (@thatniggarhodes) 's Twitter Profile Photo

Correct score 4/4 Aston Villa ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 1 : 4 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea Brighton ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 0 : 1 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟArsenal Man city๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 3 : 2 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Forest Newcastle ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 2 : 1 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man U Stake wisely๐Ÿ™๐Ÿฝ