Denis Alex (@denisi_z) 's Twitter Profile
Denis Alex

@denisi_z

Travel Advisor | Wildlife Photographer

@topdecksafari

ID: 1077082801298698240

linkhttp://Instagram.com/denisi.z calendar_today24-12-2018 06:05:25

2,2K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti: The Tanzania post-election report was a deliberate move to create a state narrative and evade accountability. The appointing authority is conflicted because President Suluhu is the prime suspect. #CitizenWeekend

Guinness World Records (@gwr) 's Twitter Profile Photo

Couldn't catch him! 🔥 Congratulations to Sabastian Sawe on his fastest marathon (male) at 1:59:30. He also beats Eliud Kipchoge’s fastest marathon distance #londonmarathon TCS London Marathon

Couldn't catch him! 🔥 Congratulations to Sabastian Sawe on his fastest marathon (male) at 1:59:30. He also beats Eliud Kipchoge’s fastest marathon distance #londonmarathon <a href="/LondonMarathon/">TCS London Marathon</a>
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.

Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.
Luxury In Africa (@luxuryinafrica) 's Twitter Profile Photo

From the endless plains of the Serengeti to the spice-scented shores of Zanzibar — Tanzania is where the world's most extraordinary wildlife encounters await. Discover Tanzania 🇹🇿 👇 theluxuryafrica.com/tanzania #TravelGuide

From the endless plains of the Serengeti to the spice-scented shores of Zanzibar — Tanzania is where the world's most extraordinary wildlife encounters await.

Discover Tanzania 🇹🇿 👇

theluxuryafrica.com/tanzania

#TravelGuide
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametaka Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini wawajibishwe kutokana na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katika vuguvugu la Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo jijini Dar es salaam amesema “kufadhili na kutekeleza

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. Boniface Jacob akizungumza katika kongamano la Chaso Dar es salaam leo tarehe 2 Mei 2026.

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. Boniface Jacob akizungumza katika kongamano la Chaso Dar es salaam leo tarehe 2 Mei 2026.
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: CHASO WAMPA TUZO LISSU YA KUPIGANIA HAKI NA DEMOKRASIA NCHINI Wanafunzi wa vyo vya kati na Vyuo Vikuu wa chama cha CHADEMA leo Mei 02, 2026 wamemtunuku tuzo ya heshima Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ya kutambua mchango wake katika kupigania Demokrasia na Haki

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: KAMATI KUU YA CHADEMA IMESEMA KESI YA LISSU NI YA KISIASA, WATAKA AACHIWE HURU BILA MASHARTI Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika leo Mei 02, 2026 akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya chama hicho amesema kamati kuu hiyo imetaka Mwenyekiti wa chama hicho Taifa,

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 02 Mei 2026 Chaso Dar es salaam wamempatia Mhe. Tundu Antiphas Lissu tuzo ya kutambua mchango wake katika kupigania haki, demokrasia, utawala bora, na ukombozi wa nchi yetu Tanzania. Mhe. John Heche amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mhe. John Heche.

Leo tarehe 02 Mei 2026 Chaso Dar es salaam wamempatia Mhe. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> tuzo ya kutambua mchango wake katika kupigania haki, demokrasia, utawala bora, na ukombozi wa nchi yetu Tanzania.

Mhe. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mhe. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu. Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu. Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .

Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.

Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu.

Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa. Mungu awabariki . Love you sana.

Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.

Mungu awabariki . Love you sana.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Sisi ndiyo wale ambao tulifungiwa tusifanye siasa siku 310 mfululizo na tumerudi tumekuta hata MaCCM na vyama mipango yao ya kando vinaogopa kufanya mikutano ya hadhara. Nawapa challenge, nileteeni picha kama hii mbunge wa CCM akifanya mkutano wa hadhara jimboni tangu Oktoba 29.

Sisi ndiyo wale ambao tulifungiwa tusifanye siasa siku 310 mfululizo na tumerudi tumekuta hata MaCCM na vyama mipango yao ya kando vinaogopa kufanya mikutano ya hadhara. Nawapa challenge, nileteeni picha kama hii mbunge wa CCM akifanya mkutano wa hadhara jimboni tangu Oktoba 29.