Delphina🇹🇿 (@delphin57376204) 's Twitter Profile
Delphina🇹🇿

@delphin57376204

ID: 1182671942693900289

calendar_today11-10-2019 14:59:20

404 Tweet

91 Followers

426 Following

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu.

Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu.
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

#AfyaNaDrNorman | MITOKI NA SARATANI YA ZIWA ➡️Muda mwingine saratani ya ziwa Huweza kusambaa hadi kwenye mitoki (nodes) za kwenye kwapa ➡️Dalili Huwa ni mtoki kuvimba. ✍️Unapojipima ziwa usisahau kugusa pia kwapa na juu ya shingo. Mwone Daktari 👨🏾‍⚕️ #BreastCancerAwarenessMonth

#AfyaNaDrNorman | MITOKI NA SARATANI YA ZIWA

➡️Muda mwingine saratani ya ziwa Huweza kusambaa hadi kwenye mitoki (nodes) za kwenye kwapa

➡️Dalili Huwa ni mtoki kuvimba.

✍️Unapojipima ziwa usisahau kugusa pia kwapa na juu ya shingo. Mwone Daktari 👨🏾‍⚕️

#BreastCancerAwarenessMonth
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

#DondooZaDaktari | Leo ni siku ya #KIHARUSI #WorldStrokeDay ➡️Tatizo la dharura la kiafya ambalo ni moja ya magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo. ➡️Mitindo ya maisha na Lishe ni vitu vinavyochangia wagonjwa wanaopata stroke kuongezeka ➡️Kiharusi huacha ulemavu au kifo

#DondooZaDaktari | Leo ni siku ya #KIHARUSI #WorldStrokeDay 

➡️Tatizo la dharura la kiafya ambalo ni moja ya magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo.

➡️Mitindo ya maisha na Lishe ni vitu vinavyochangia wagonjwa wanaopata stroke kuongezeka

➡️Kiharusi huacha ulemavu au kifo
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Kila unapokataliwa, unapewa fursa nyingine ya kujitathmini na kujithaminisha. Unaweza kukataliwa sababu umejitutumua kutaka kisicho kadri yako, ama unastahili kilicho bora kuliko hicho unachokitaka. Kukataliwa ni moja ya njia ya maisha ya kutupangua na kutupanga tunapostahili.

Kyoga (@rebecagyumi) 's Twitter Profile Photo

Nimeiangalia hii video ya huyu mtoto zaidi ya mara 10, uwezo wake wa kufafanua mambo, anavyojitambua. Aisee 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 Msichana Mwenye Ndoto ni Moto 🔥🔥🔥

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Uhitaji Hela Ndio Uanze Kutengeneza Hela Mtandaoni... . Unahitaji “UJUZI” Tu . Geuza Huo Ujuzi Kuwa Bidhaa kisha Anza Kuuza kwa Mfumo wa... . 1). Ebooks . 2). Coaching . 3). Mastermind . 4). Consulting . 5). Masterclass . Etc . P. S. Retweet!

Joel Osteen (@joelosteen) 's Twitter Profile Photo

How much time are you wasting offended, upset, letting difficult people steal your joy? It’s time to get focused. Tune out all of the negative and run your race with purpose.