Pio Mponzi
@pius_mponzi
ID: 893251547664179200
03-08-2017 23:25:39
10,10K Tweet
167 Followers
128 Following
millardayo Hongereni vyuo vyangu ambapo nilisoma UDSM, Kwa SUA nilikuwa Mjumbe wa Baraza la Chuo na NMAIST nilikuwa kwa mjumbe wa Steering Committee ya kwanza iliyosimamia kuanzishwa kwa chuo hiki. Hata hivyo, nasikitika chuo changu UDOM kutokuwepo kwenye orodha hiyo.
Typical African Tata Nzambe ozali na likolo yoka mabondeli ya bana Congo. Bato babomana lokola nyama ya nzamba.
-Dennis Itumbi, CBS Daily Nation I was really flabbergasted to hear that the Finance Bill has proposed raising tax on bread while it has reducing excise duty on beer.
Ahmed Ally Wewe tumekuzoea na tunajua wakija makocha wa kigeni unawageuka akina Juma Mgunda na Selemani Matola na kusema hakuna kocha bora kama huyu kuwahi kutokea Simba.
MAK Mringo (PhD) Wazazi wengi kwa sasa hatutekelezi majukumu yetu kama tulivyolelewa na kukuzwa na wazazi wetu. Akina Baba wengi tumekuwa Dad badala ya Father na akina Mama wamekuwa Mom badala ya Mother. Kuna tofauti kubwa kati ya Father na Dad na pia Mother na Mom.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe What killed the Southern African Power Pool (SAPP) initiative under the SADC? In principle power pools are meant among other things to enable countries with surplus power supplies to export it to other countries experiencing load shedding due to power deficit.
Rahuuuum Mhe. Sheikh Kipozeo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Mtandao wa X (twitter) ni muhimu sana kwa sisi wengine na pia hata mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu anautumia sana kwenye mawasiliano yake kwa umma. Sasa haya maamuzi kwa Kisungu wanasema "blanket condemnation" yanatoka wapi?
Jambo TV Samia Suluhu Afande Sele umenena ukweli. Kwanza mwenyekiti huyo ni vema akajua kuwa kila sekta ina mamlaka ya usimamizi (regulatory authority). Kwa upande wa TEHAMA ambako tunaikuta mitandao ya kijamii yaani X (twitter), FB n.k. inasimamiwa na TCRA ambayo inatekeleza majukumu yake ipasavyo.
BBC News Africa Mo the Sudanese tycoon once said countries like US elected Obama who was very young and entrusted him to preside the country with nuclear power and manage the largest economy in the world. Yet Africans elect sick and old wheelchair ridden presidents who can't even wave hands.
Hon. KM Katiwa ξ¨π The Government Critic π°πͺ Majuu Alone Muneneπ°πͺ Wajameni remember that you dispatched him to Bondo like a DHL parcel. So please don't disturb him and everyone should carry his/her own burden. You woke up early in the morning and chanted tugokira tene tugokira tene tugathure UDA's MPs who now form the majority in the House.
Born to win π³π¬ π΅π± π°π· Mmmmhhhhhh!!!!!!! This is a scientific calculator and those buttons are very useful for scientists, engineers, statisticians, mathematicians etc.
millardayo Nayapongeza maagizo haya ya Rais. Huko nyuma sauti zilipazwa juu ya kuwa na uchumi wa saa 24 Serikali sikivu ikaruhusu mabasi ya abiria kusafiri usiku. Baada ya Kariakoo tunaomba tugeukie kumbi za sherehe ambazo zinalazimika kufungwa saa sita usiku katikati ya shughuli wajameni.
Daily Nation In Africa ailing presidents are seeking additional terms in the office while they are wheelchair ridden and they can hardly raise their hands to wave to their voters. Something is wrong somewhere I can tell you for sure.
Sachin Jose The fruit bearing tree is one which bears the brunt of stone throwers.