Nana_Wills ❣️🌹 (@nana_willstz) 's Twitter Profile
Nana_Wills ❣️🌹

@nana_willstz

ID: 1780161323331940352

calendar_today16-04-2024 09:08:46

518 Tweet

16 Followers

62 Following

JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

President Samia Suluhu Hassan stands as a paragon of principled leadership in Africa, poised, resolute, and unwavering. Let it be clear: no noise, no slander, no theatrics shall eclipse the magnitude of her work. History will remember her not for the distractions, but for the

Katika mwaka 2024 sekta ya kilimo imekua kwa asilimia 4.1 ikilinganishwa na lengo la asilimia 6.1 mwaka 2025, imechangia asilimia 26.3 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na lengo la asilimia 23.4 na imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 61.4 mwaka 2024 ikilinganishwa

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa kilimo wa 2023/2024 ulifikia tani 22,803,316 ikilinganishwa na tani 20,402,014 katika msimu wa kilimo wa 2022/2023 sawa na ongezeko la asilimia 11.8. Katika kipindi hicho, uzalishaji wa mazao ya nafaka ulikuwa tani 14,587,177 na

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa kilimo wa 2023/2024 ulifikia tani 22,803,316 ikilinganishwa na tani 20,402,014 katika msimu wa kilimo wa 2022/2023 sawa na ongezeko la asilimia 11.8. 

Katika kipindi hicho, uzalishaji wa mazao ya nafaka ulikuwa tani 14,587,177 na

Wizara kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeendelea kutekeleza miradi 780. Kati ya hiyo, miradi 125 yenye ukubwa wa hekta 237,005.46 ni ujenzi na ukarabati ambapo miradi 12 kati ya hiyo imekamilika. Miradi 114 ni ya upembuzi yakinifu na ujenzi wa mabwawa yenye takriban

Wizara kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeendelea kutekeleza miradi 780. Kati ya hiyo, miradi 125 yenye ukubwa wa hekta 237,005.46 ni ujenzi na ukarabati ambapo miradi 12 kati ya hiyo imekamilika.   

Miradi 114 ni ya upembuzi yakinifu na ujenzi wa mabwawa yenye takriban
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kushirikiana na Wizara za kisekta, Mamlaka za Serikali za Mitaa na wadau wa ushirika imeendelea na uhamasishaji na uanzishaji wa Vyama vya Ushirika katika sekta mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kilimo, uvuvi, mifugo, fedha, viwanda na madini. Hadi

Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kushirikiana na Wizara za kisekta, Mamlaka za Serikali za Mitaa na wadau wa ushirika imeendelea na uhamasishaji na uanzishaji wa Vyama vya Ushirika katika sekta mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kilimo, uvuvi, mifugo, fedha, viwanda na madini.

Hadi
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Katika eneo la usambazaji wa pembejeo za kilimo kwenye mazao ya Kimkakati, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikisha yafuatayo:- i. Imewezesha upatikanaji na usambazaji wa viuatilifu vya

Katika eneo la usambazaji wa pembejeo za kilimo kwenye mazao ya Kimkakati, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikisha yafuatayo:-

i. Imewezesha upatikanaji na usambazaji wa viuatilifu
vya
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Katika eneo la Miundombinu ya Umwagiliaji, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefanikisha yafuatayo:- 🔹 Imeongeza miradi ya umwagiliaji inayotekelezwa kutoka miradi 13 mwaka 2020/2021 hadi

Katika eneo la Miundombinu ya Umwagiliaji, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefanikisha yafuatayo:-

🔹 Imeongeza miradi ya umwagiliaji inayotekelezwa kutoka miradi 13 mwaka 2020/2021 hadi
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Katika eneo la Uongezaji Thamani na Matumizi ya Zana za Kilimo:- 🔹 Serikali imenunua matrekta makubwa 500 na matrekta madogo (power tiller) 800 kwa ajili ya kutoa huduma za kilimo; 🔹Serikali mekamilisha ujenzi wa kiwanda cha kusindika zabibu chenye uwezo wa kusindika zabibu

Katika eneo la Uongezaji Thamani na Matumizi ya Zana za Kilimo:-

🔹 Serikali imenunua matrekta makubwa 500 na matrekta madogo (power tiller) 800 kwa ajili ya kutoa
huduma za kilimo;
🔹Serikali mekamilisha ujenzi wa kiwanda cha kusindika zabibu chenye uwezo wa kusindika zabibu
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo  imezalisha ajira za kudumu na za muda mfupi 1,084,481 kupitia programu na miradi mbalimbali ya maendeleo ya kilimo ikiwemo miradi ya uzalishaji na utafiti; ujenzi, ukarabati na usanifu wa miradi ya umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora na Vyama vya

Uzalishaji wa Mazao ya Biashara: Uzalishaji umeongezeka kutoka tani 898,967 (2020/21) hadi 1,451,694 (2023/24) (Ongezeko: 61.5%). Korosho: Ongezeko la asilimia 150.6 Tumbaku: Ongezeko la asilimia 173.47 Kahawa: Tanzania ni ya nne Afrika Mkonge: Ongezeko la asilimia 69.24

Uzalishaji wa Mazao ya Biashara: 

Uzalishaji umeongezeka kutoka tani 898,967 (2020/21) hadi 1,451,694 (2023/24) (Ongezeko: 61.5%).

Korosho: Ongezeko la asilimia 150.6

Tumbaku: Ongezeko la asilimia 173.47

Kahawa: Tanzania ni ya nne Afrika

Mkonge: Ongezeko la asilimia 69.24
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Bajeti ya Kilimo imezidi kuongezeka kutoka Tsh Bilioni 294 katika mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia Tsh Trilioni 1.248 katika mwaka wa fedha 2024/2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 324.49. Hii imetokana na hatua za Serikali ya Awamu ya Sita kuongeza uwekezaji katika sekta

Bajeti ya Kilimo imezidi kuongezeka kutoka Tsh Bilioni 294 katika mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia Tsh Trilioni 1.248 katika mwaka wa fedha 2024/2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 324.49. 

Hii imetokana na hatua za Serikali ya Awamu ya Sita kuongeza uwekezaji katika sekta
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Kwenye eneo la Miundombinu ya Utafiti, Uzalishaji wa Mbegu na Huduma za Ugani:- 🔹 Serikali imekamilisha ujenzi wa Kituo cha Udhibiti wa Visumbufu vya Mimea Kibailojia (National Biological Control Unit) - Kibaha, Maabara ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania - Dar es Salaam,

Kwenye eneo la Miundombinu ya Utafiti, Uzalishaji wa Mbegu na Huduma za Ugani:-

🔹 Serikali imekamilisha ujenzi wa Kituo cha Udhibiti wa
Visumbufu vya Mimea Kibailojia (National
Biological Control Unit) - Kibaha, Maabara ya
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania - Dar
es Salaam,
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo katika kipindi cha miaka mitatu (3) imewezesha ruzuku ya mbolea tani 1,454,974.721 yenye thamani ya Shilingi 708,627,762,436 kwa mazao yote. Hatua hiyo, imewezesha kuongezeka kwa matumizi ya mbolea kutoka tani 363,599 mwaka 2021/2022 hadi tani 848,884 mwaka

Wizara ya Kilimo katika kipindi cha miaka mitatu (3) imewezesha ruzuku ya mbolea tani 1,454,974.721 yenye thamani ya Shilingi 708,627,762,436 kwa mazao yote.

Hatua hiyo, imewezesha kuongezeka kwa matumizi ya mbolea kutoka tani 363,599 mwaka 2021/2022 hadi tani 848,884 mwaka
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

KUPITIA UTENDAJI WAKE WA KAZI NA UTU, TANZANIA IMEPANDA NGAZI YA MAENDELEO. UONGOZI WA RAIS SAMIA NI SOMO LA BUSARA, MSHIKAMANO NA MAGEUZI YA KIMFUMO. Katika historia ya Tanzania, kuna vipindi vya kimya vinavyobeba mageuzi makubwa. Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mfano

KUPITIA UTENDAJI WAKE WA KAZI NA UTU, TANZANIA IMEPANDA NGAZI YA MAENDELEO. UONGOZI WA RAIS SAMIA NI SOMO LA BUSARA, MSHIKAMANO NA MAGEUZI YA KIMFUMO.

Katika historia ya Tanzania, kuna vipindi vya kimya vinavyobeba mageuzi makubwa. Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mfano
JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

THROUGH HER DEDICATED LEADERSHIP AND HUMANITY, TANZANIA HAS RISEN TO NEW HEIGHTS OF DEVELOPMENT. PRESIDENT SAMIA'S LEADERSHIP IS A LESSON IN WISDOM, UNITY, AND SYSTEMIC TRANSFORMATION. In the political chronicles of Tanzania, some of the most powerful transformations unfold

THROUGH HER DEDICATED LEADERSHIP AND HUMANITY, TANZANIA HAS RISEN TO NEW HEIGHTS OF DEVELOPMENT. PRESIDENT SAMIA'S LEADERSHIP IS A LESSON IN WISDOM, UNITY, AND SYSTEMIC TRANSFORMATION.

In the political chronicles of Tanzania, some of the most powerful transformations unfold
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MABORESHO YA SEKTA YA ANGA YACHOCHEA UTALII NA HUDUMA ZA USAFIRI Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuimarisha sekta ya usafiri wa anga kwa lengo la kuchochea shughuli za utalii, biashara na kukuza uchumi wa Taifa. Kupitia mikakati mbalimbali ya uwekezaji na maboresho ya

MABORESHO YA SEKTA YA ANGA YACHOCHEA UTALII NA HUDUMA ZA USAFIRI

Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuimarisha sekta ya usafiri wa anga kwa lengo la kuchochea shughuli za utalii, biashara na kukuza uchumi wa Taifa. Kupitia mikakati mbalimbali ya uwekezaji na maboresho ya
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MIUNDOMBINU YA BARABARA YAZIDI KUBORESHWA NCHINI. Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuweka kipaumbele katika upanuzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuchochea shughuli za kiuchumi na kuboresha huduma za kijamii kwa

JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

🗳️ SISI TUNASHIRIKI — OKTOBA TUNATIKI! Katika Taifa linalojenga msingi wa utawala bora, wananchi huwa na jukumu kubwa la kuamua mwelekeo wa nchi yao. Katika miaka michache ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeshuhudia mageuzi makubwa katika diplomasia, uchumi,

🗳️ SISI TUNASHIRIKI — OKTOBA TUNATIKI!

Katika Taifa linalojenga msingi wa utawala bora, wananchi huwa na jukumu kubwa la kuamua mwelekeo wa nchi yao. Katika miaka michache ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeshuhudia mageuzi makubwa katika diplomasia, uchumi,