JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile
JamalKita255

@jamalkita255

🦁SIMBA & MAN UTD die hard fan

ID: 1121489764774031363

calendar_today25-04-2019 19:02:50

69,69K Tweet

13,13K Takipçi

2,2K Takip Edilen

JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Uzalishaji wa Mazao ya Biashara: Uzalishaji umeongezeka kutoka tani 898,967 (2020/21) hadi 1,451,694 (2023/24) (Ongezeko: 61.5%). Korosho: Ongezeko la asilimia 150.6 Tumbaku: Ongezeko la asilimia 173.47 Kahawa: Tanzania ni ya nne Afrika Mkonge: Ongezeko la asilimia 69.24

Uzalishaji wa Mazao ya Biashara: 

Uzalishaji umeongezeka kutoka tani 898,967 (2020/21) hadi 1,451,694 (2023/24) (Ongezeko: 61.5%).

Korosho: Ongezeko la asilimia 150.6

Tumbaku: Ongezeko la asilimia 173.47

Kahawa: Tanzania ni ya nne Afrika

Mkonge: Ongezeko la asilimia 69.24