Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile
Dira Ya Samia

@dirayasamia

Ukurasa Rasmi unaonyesha Dira ya Maendeleo Inayojumuisha Mikakati na Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.

ID: 1489738544004403201

linkhttp://dirayasamia.or.tz calendar_today04-02-2022 23:12:30

76,76K Tweet

63,63K Followers

11 Following

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MABORESHO YA SEKTA YA ANGA YACHOCHEA UTALII NA HUDUMA ZA USAFIRI Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuimarisha sekta ya usafiri wa anga kwa lengo la kuchochea shughuli za utalii, biashara na kukuza uchumi wa Taifa. Kupitia mikakati mbalimbali ya uwekezaji na maboresho ya

MABORESHO YA SEKTA YA ANGA YACHOCHEA UTALII NA HUDUMA ZA USAFIRI

Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuimarisha sekta ya usafiri wa anga kwa lengo la kuchochea shughuli za utalii, biashara na kukuza uchumi wa Taifa. Kupitia mikakati mbalimbali ya uwekezaji na maboresho ya