JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile
JamalKita255

@jamalkita255

🦁SIMBA & MAN UTD die hard fan

ID: 1121489764774031363

calendar_today25-04-2019 19:02:50

69,69K Tweet

13,13K Takipçi

2,2K Takip Edilen

JamalKita255 (@jamalkita255) 's Twitter Profile Photo

Bajeti ya Kilimo imezidi kuongezeka kutoka Tsh Bilioni 294 katika mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia Tsh Trilioni 1.248 katika mwaka wa fedha 2024/2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 324.49. Hii imetokana na hatua za Serikali ya Awamu ya Sita kuongeza uwekezaji katika sekta

Bajeti ya Kilimo imezidi kuongezeka kutoka Tsh Bilioni 294 katika mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia Tsh Trilioni 1.248 katika mwaka wa fedha 2024/2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 324.49. 

Hii imetokana na hatua za Serikali ya Awamu ya Sita kuongeza uwekezaji katika sekta