Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile
Mr.Jalole

@mrjalole

I have a dream n I believe will get more money but I don't know when!

ID: 4318929767

calendar_today29-11-2015 14:41:38

6,6K Tweet

653 Followers

1,1K Following

Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile Photo

Siwasugulii damu ya Kunguni ila ktk hawa polisi wote zikichukuliwa simu zao zikaguliwe hukosi simu 20 zenye mchongo wa rushwa!

Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile Photo

Nsiwe muongo huyu jamaa huwa ananishawishi kwenda kanisani kwake!, si tu kwasababu ya kuabudu pekee lakn naona ktk kichwa chake kuna kitu kwa ukumbuzi wa fikra kwa ukombozi wa mtu mweusi!!

Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile Photo

"If you're in a rage, you get stronger, and when you're strong, you can make things happen—you can turn anything around!" #AwakenTheGiantWithin 🙏🙏🙏

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Sijaandika chochote kuhusu Lissu tangu akamatwe na kubambikiwa kesi ya uhaini, kwa sbb ningeandika nadhani wangenitafuta na mimi wanipe hiyo kesi. Don't speak when you're angry. Ila niseme tu, Baadhi ya wanaoitwa magaidi ni watu wema wanaopambana na magaidi wenye madaraka.

Sijaandika chochote kuhusu Lissu tangu akamatwe na kubambikiwa kesi ya uhaini, kwa sbb ningeandika nadhani wangenitafuta na mimi wanipe hiyo kesi. Don't speak when you're angry.
Ila niseme tu, Baadhi ya wanaoitwa magaidi ni watu wema wanaopambana na magaidi wenye madaraka.
MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Seneta wa Kaunti ya Nairobi nchini Kenya Edwin Sifuna akifanya mahojiano na kituo cha habari na kueleza namna demokrasia inavyozidi kukimbiwa na nchi za Afrika Mashariki. Credit MwanzoTV

Ushkumbuu (@ushkumbuu) 's Twitter Profile Photo

Think Different Kwa hakimu kulazimisha kesi isikilizwe kwa mtandao ni kielelezo kuwa haki haionekani kutendeka. Na kama boss wake CJ anaona sawa ndio muone na muwaoneshe wananchi jinsi mahakama imetiwa mfukoni na executive.

Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile Photo

Huyu mzee kuna wakati naweza kumtetea, lawama zote zisiishie kwake, shida ni ipo ktk chama cha Ccm, tuona kama UVCCM kama hata watakohoa kuhusu hili, usikute wakashangilia kabisa. Watu wa hovyo wapo ktk chama tawala

Huyu mzee kuna wakati naweza kumtetea, lawama zote zisiishie kwake, shida ni ipo ktk chama cha Ccm, tuona kama UVCCM kama hata watakohoa kuhusu hili, usikute wakashangilia kabisa.
Watu wa hovyo wapo ktk chama tawala
Adily Adrian (@ankhupe) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Samia Suluhu EPP Christian Kattner 🖤 🇩🇪🇺🇦🇪🇺 davidmcallister Tulisema kitambo achaneni na Lissu kama mnaona anaropoka au hana utimamu wa akili muacheni ule ni mpango wa Mungu,mkaona sisi hatuna akili mmeenda hadi kugusa pasipogusika bado tuu hamuoni Mungu anamtumia Lissu kiukombozi?Free Lissu na mpambane nae kwa haki kama mnajiweza

Kassala (@vicent_kassala) 's Twitter Profile Photo

The Citizen Tanzania ACTWazalendo tunalaani vikali shambulio dhidi ya Padre Dr. Charles Kitima, Katibu Mkuu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC). Tunazitaka mamlaka husika zichukue hatua za haraka kukomesha matendo haya yasiyokubalika. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

<a href="/TheCitizenTz/">The Citizen Tanzania</a> <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> tunalaani vikali shambulio dhidi ya Padre Dr. Charles Kitima, Katibu Mkuu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC). Tunazitaka mamlaka husika zichukue hatua za haraka kukomesha matendo haya yasiyokubalika.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mr.Jalole (@mrjalole) 's Twitter Profile Photo

Kiukweli mnachokifanya sio kujenga Chama, mnatuvugia Amani ya nchi yetu!, nalaani vikali, haya maovu mfanyayo si kwamba mtakuwa salama milele!