Afya muhimu
@mbanteze
HEALTH ,POLITICAL AND FOOTBALL
ID: 1378406061497937920
03-04-2021 17:57:10
13,13K Tweet
879 Followers
1,1K Following
Norway wanahuduma ya afya Bora Bora Sana Ndg Dr. Kala. MD hivi na huko Uk huduma zenu ni nzr au ni Kama za home boy tu Kule kakonko🥺
Moyo wa TAIFA ™️ Unaikosoa serikali, wakati jana Umeomba horse ya chingchong🤣🤣 ungepata sema umejisahau mzee wa Accountability 🤣
Itoshe kusema mh Dr. Tulia Ackson anaushauli mzr Sana kwa vijana kinachomfanya awe Kama alivyo ni mfumo tu
Afya muhimu KAPETO🇹🇿 Simba Sports Club Mohammed Dewji MO Vanessa A. Mkagilage Njoo huku PEMA Lodge! Nipo hadi mwisho wa mwezi huu. Karibu sana Moghaka!
Leo Salim Kikeke na Crown Media amefanyakazi nzuri sana ya kuuhabarisha umma kuhusu matukio yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye Maandamano. Mungu akubariki sana kaka, chukua 💐 yako
Daaa Kuna askari police kaja kutibiwa nilivyomwandikia dawa za kutumia na kukuta hazipo famas ya hospital kaanza kusema Sasa hela anatoa wapi ya kununua akiomba nimbadilishie dawa mmmmm dawa zenyewe garama ya 15000 nyieee kumbe nao maaskari Wana shida tupu Tito Magoti
Afya muhimu Ngoja nitembelee leo maana ni jirani na hapa Komaswa ambapo nipo japo ipo Wilaya nyingine.
Afya muhimu Inaitwa Nyanjagi Tata! Iko wilaya ya Rorya
Hongeren Sana Airtel Tanzania kwa huduma zenu Leo mmekuwa active Sana wakat wengine wanaotumia mitandao mingine wakiteseka 🙌🙌
Elias Senso (Dr. Welsen) 🩺🇹🇿 Dr.Nchimbi Dr SALUMU @drkabuje Daktari Wa Muda Wote🚑 DR.Sesema Sk Dr. Dennis Swai (MBBS) Dr. Budodi Zirconium 🦷 💉💊️. Kikoti Afya💊 Kabigwa_Afya💊 Cancrum oris/Stomatitis gangrenosa/Noma Cause; Polymicrobial spp, esp. Borrelia vincenti huyu ni spirochete. Poverty, poor hygiene, malnutrition increases the risk Rx; Broad spectrum antibiotics, wound care, nutritional care, plastic surgery Ila ngoma inatisha🙌🙌